Sasa hivi bandarini :Shuhudia uchomaji wa kontena 30 za bodaboda feki

hata Africa nzima hakuna kifaa kama hicho pikipiki inakununua wewe na familia yako unadai imekosa kiwango tena kontena 30 UKICHAA HUU
 
halafu MSAGA SUMU alipomaliza kutupia huu uzi hajarudi tena kujibu comments za watu:D:D:D:D
 
Hivi mods watu kama hawa mnawafanye? Mbona wanaharibu hii forum?
 
Back
Top Bottom