Mahweso
JF-Expert Member
- Jan 10, 2014
- 1,098
- 1,501
Sijajua sasa Kama Nchi nzima ikipata njaa na yeye atatafuta kazi ya kufanya ama vipi,
Maana alisema Mkuu wa Mkoma au Wilaya sehemu yake au Mkoa wake ukikumbwa na Njaa huyo atafute kazi ya kufanya
Mungu mjaribu tu ila aliyosema Lema yasitokee .
Mungu pekee ndio yupo sahihi na bado analaumiwa na kutukanwa lakini hakasiliki,
Tunayoyafanya Binadamu ambayo Mungu kakataza ni mangapi na Bado anatuvumilia,
Watanzania tutateseka sababu ya Mtu mmoja