Sasa hii sifa! Umeona nini kwa huyu mdada?

kyalankota

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2014
Posts
2,594
Reaction score
1,463
1428216923293.jpg
Mi nimeona mkanda mzuri, wewe je? Ha ha haaa!
 
Kyalankota, unahitaji maombi na neema za ufufuko wa Yesu Kristu ili uzaliwe upya na mawazo yako yawe katika kuleta maeneleo ya nchi siyo kuwaza yale ya ibilisi tu. Ubarikiwe!!
Ubarikiwe sana mtumishi!
 
Kyalankota, unahitaji maombi na neema za ufufuko wa Yesu Kristu ili uzaliwe upya na mawazo yako yawe katika kuleta maeneleo ya nchi siyo kuwaza yale ya ibilisi tu. Ubarikiwe!!
Nyie mnaoongeaga hivi Mungu akiwasha jua ghafra usiku na kubomoa nyumba zote mnakuwaga mama wakubwa
 
Kyalankota, unahitaji maombi na neema za ufufuko wa Yesu Kristu ili uzaliwe upya na mawazo yako yawe katika kuleta maeneleo ya nchi siyo kuwaza yale ya ibilisi tu. Ubarikiwe!!

Mama Mdogo, Mungu Alye Hai Akubariki Kwa Kuendelea Kuharibu Tabia Za Kipepo, Unaabudu Wapi? Nijibu Kwny Pm
 
Watu wanavaa boxer chu....pi ya nn mtoto wa kiume

una uhakika kuwa jina lake linaitwa boxer? wazazi wetu waliotuzaa wamekuzwa na hizo hizo chupi tena zile za vip a.k.a vaa ibane mbupu na waliweza kuonyesha uanamume wao hadi kutuzaa sisi na sisi leo tunajifanya kwenda na wakati kwa kuvaa hizo boxers zako lakini wengi wenu mna matatizo ya nguvu za kiume na yawezekana hata wewe pia ukawa ni mhanga wa tatizo hilo. endeleeni tu kuvaa hizo boxers zenu halafu mademu zenu watu wawakanyagie tu kwa kukosa nguvu za kiume! chezea mzungu wewe.
 
Inabwabwaja boxer zinapunguza nguvu za kiume???????
Leta ushahidi ..
 
mbupu zako kitaalamu zinatakiwa ziwe ktk joto fulani lakini wewe unapozifanya mbupu zako zina hang hang huku zikitikisika utazani zinacheza ndombolo ya solo unazipunguzia ubora wake na ndiyo maana wengi wenu leo mnajifanya masharobalo na mnaenda na wakati lakini nguvu ya kubandua hamna na mnabanduliwa tu na wazee walioweza kuzitunza mbupu zao vizuri na barabara. na kwa mwenendo huu wazee watatubandulia mno mademu zetu!
 
Mama Mdogo, Mungu Alye Hai Akubariki Kwa Kuendelea Kuharibu Tabia Za Kipepo, Unaabudu Wapi? Nijibu Kwny Pm
We ndo mwenye pepo la kuzushia watu vifo! Juzi juzi umemzushia kifo mchungaji Gwajima! Aisee we hufai kabisa!
 
Back
Top Bottom