Sasa Furaha ipo wapi?

mcTobby

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Posts
6,499
Reaction score
18,173
Raha ya ushindi ni kufurahi pamoja na waliokuunga mkono katika kuupata ushindi.

Kunakuwa na vibe au hype fulani hivi ya kipekee pale unapokula kiapo , nyomi la raia wakishangilia kwa furaha na bashasha. Inapendeza sana .tena ukute wewe ni wa kipekee kulingana na jinsia yako...

Inapendeza sana kuona trump au biden walipokula kiapo wakishangiliwa na raia .. huwa inampa hata mshindi ujasiri fulani hivi.. ila sasa huko malawi ya kaskazini hali kidogo ni tofauti.. mshindi akiapishwa kwenye viwanja vya......

Anyway kuna muda sulemani alikuwa sahihi aliposema kila kitu chini ya jua ni ubatili mtupu na kujilisha upepo .
 
Kuongoza miaka mitano hii itakuwa migumu sana kila akitoa hotuba zake watu wakimuona watakuwa wanakumbushwa marehemu wao mbaya zaidi wengine hawataona maiti za wapendwa wao milele,ilikuwa uchungu kwa familia chache za akina mdude na soka leo wameungana kwenye majonzi ccm wasio ccm nafkiri mwenyezi Mungu kaonyesha uwepo wake wao walijaribu kupoka mamlaka ya Mungu lakini mwenyezi Mungu kapoka mamlaka yao
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…