and 300
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 26,325
- 36,124
Baada ya kukosa dili ya kujenga bomba la mfuta toka Uganda/L. Albert kwenda Lamu sasa Wakenya wamedhamiria kujenga Fly-over toka maeneo ambako Mirungi inalimwa kwa Wingi hususani Kaunti ya Meru mpaka jijini Nairobi, Momba na kaunti zinazopakana na Somalia
(kwa ajili kwenda kuuza huko Somalia). Nawasilisha
(kwa ajili kwenda kuuza huko Somalia). Nawasilisha