Uzuri huku nyumba zetu zinajengwa kwa Cement tu wala hazihitaji building materials nyingine.Huko mshindwe kujenga tu, huku mara ya mwisho nilinunua elfu 18 na mia tano[emoji849]
...mie huku imeadimika Jana mepita duka la mangi ninakokopa nkakuta hana, anasema uadimu wake huenda ikapanda bei kidogooo..
Bila shaka upo Kanda ya ziwa wewe mana huko ndo bei zao hizoHuko mshindwe kujenga tu, huku mara ya mwisho nilinunua elfu 18 na mia tano[emoji849]
Kwahio ni kwamba kila bei inapopanda na faida inapanda ?Sasa hivi ujenzi umepamba moto kila mahali.. Mambo ni moto.. Vijana wasio na elimu hawatokosa kazi kama sio wavivu.. Site za kujenga ziko kibaoo.. Huu ni wakati wa wenye viwanda na hardwares kuvuna pesa!
Many sites.. More cement bags, more profit!Kwahio ni kwamba kila bei inapopanda na faida inapanda ?
Au kuna wakati bei inapanda sababu uendeshaji umepanda hence faida kubaki pale pale au kupungua..., kwahio muuzaji wa hardwares akipandisha si huenda amepandishiwa pia ?
In short huwezi kupata conclusion ya kitu bila kujua undani, all that glitters is not gold....
Bila shaka upo Kanda ya ziwa wewe mana huko ndo bei zao hizo
Many sites kwamba watu wanajenga sana au? kama wanajenga sana basi demand itakuwa kubwa kuliko supply hivyo bei itapanda ndio ila inapandia wapi ? Kwa mwenye kiwanda au supplier, kwahio kama mwenye kiwanda anapandisha hatujui margin ya msambazaji kama imepanda au kupungua...Many sites.. More cement bags, more profit!
Nilijua ni huku kwetu tu. Mji mzima simenti imeadimika, ukifanikiwa kuipata bei ni Tsh21000/=. Hizi siku tatu zilizopita nimetaabika kupata mifuko 16 tu. Na bei ni moja haijalishi ni kampuni gani wala grade.
Mwanzo simenti ilikuwa Tsh17000/= kwa Dangote, 18000/= Simba na 19000/= Nyati, sasa bei imekuwa sare na kuipata ni foreni. Kumbuka na nondo zimepanda bei.
Kama una hela ya kuanzia mifuko Mia nenda kiwandani unanunua kwa bei ya jumla. Kwahapo kigamboni nenda nyati cement
Kwa wote.Many sites kwamba watu wanajenga sana au? kama wanajenga sana basi demand itakuwa kubwa kuliko supply hivyo bei itapanda ndio ila inapandia wapi ? Kwa mwenye kiwanda au supplier, kwahio kama mwenye kiwanda anapandisha hatujui margin ya msambazaji kama imepanda au kupungua...
More cement bags; Cement bags zikiwa nyingi haiwezekani watu wakakosa cement au bei kupanda kama uhitaji ni mdogo kuliko uzalishaji..., pia kumbuka hata bei ishuke vipi haiwezi kushuka kuliko production cost unless otherwise kuna ruzuku kutoka mahali..
More Profit; Profit kwa nani ndio hapo nimesema huwezi kujua kwa juu juu mpaka ufanye due dilligence.....