Sarah Palin caught live...

kui

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2009
Messages
6,478
Likes
5,138
Points
280

kui

JF-Expert Member
Joined Mar 2, 2009
6,478 5,138 280
Remember those quizzes you had on the state capitals back in junior high? Oh, the pressure! The temptation to write "Pierre, Olympia, Dover, Albany" on the inside of your hand was overwhelming, wasn't it? But you resisted. Maybe Sarah Palin should have done the same.
The former vice presidential candidate seems to have been caught using curious crib notes during an interview this past weekend at the high-profile Tea Party Convention in Nashville. While speaking about her top political priorities, Ms. Palin gazed at her hand in a rather suspicious manner.
Later, Web researchers zoomed in on her left palm and found the following words scrawled in black ink: "Energy, Budget cuts (with "budget" crossed out), Tax, Lift American Spirits." In an ironic twist during the speech, Ms. Palin worked in a jab against President Obama's often-mocked use of TelePrompTers.

Lebels: yahoo.com
 
Yegomasika

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2009
Messages
10,288
Likes
41,572
Points
280

Yegomasika

JF-Expert Member
Joined Mar 21, 2009
10,288 41,572 280

Yeah nimemwona huyo President wanna be akila chabo kiganjani. Enzi hizo tupo chuo tulikuwa tunaita JUCHE!.
 
Nyambala

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2007
Messages
4,470
Likes
30
Points
135

Nyambala

JF-Expert Member
Joined Oct 10, 2007
4,470 30 135
Yeah nimemwona huyo President wanna be akila chabo kiganjani. Enzi hizo tupo chuo tulikuwa tunaita JUCHE!.
Yaani unajua kinachochekesha ni kwamba alikuwa kwenye intavyuu ya maswali na majibu. This revelation inaonyesha kwamba huyu mama alikuwa tayari ana desa la maswali atakayoulizwa!!!!!!!!!!!
 
Yegomasika

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2009
Messages
10,288
Likes
41,572
Points
280

Yegomasika

JF-Expert Member
Joined Mar 21, 2009
10,288 41,572 280
Yaani unajua kinachochekesha ni kwamba alikuwa kwenye intavyuu ya maswali na majibu. This revelation inaonyesha kwamba huyu mama alikuwa tayari ana desa la maswali atakayoulizwa!!!!!!!!!!!
Halafu anamsakama Obama eti anatumia telepronter kwenye hotuba zake, wakati yeye mpaka kujibu maswali anatumia telepronter ya kiganja. Du shame on her.
 
kui

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2009
Messages
6,478
Likes
5,138
Points
280

kui

JF-Expert Member
Joined Mar 2, 2009
6,478 5,138 280
Aliogopa yasimkute tena yalomtokea on her infamous interview with Katie couric...duh!, noma
 
SMU

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2008
Messages
8,190
Likes
2,555
Points
280

SMU

JF-Expert Member
Joined Feb 14, 2008
8,190 2,555 280
Kwa mtu wa calibre yake, pengine so sifa nzuri kujiandika kwenye viganja kama mtoto wa shule! Kwani alitaka kuficha nini? Au kwenye hiyo interview ilikuwa marufuku kuingia na note book:rolleyes:?
 
k_u_l_i

Senior Member
Joined
Jan 26, 2010
Messages
122
Likes
1
Points
0

k_u_l_i

Senior Member
Joined Jan 26, 2010
122 1 0
Tatizo sio kuandika kwenye kiganja bali ulichoandika. Inakubalika kuandika vitu kama vile statistics - sio vitu alivyoandika huyu bibi.

¬K
 
Cynic

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2009
Messages
5,154
Likes
641
Points
280

Cynic

JF-Expert Member
Joined Jan 5, 2009
5,154 641 280
Yaani unajua kinachochekesha ni kwamba alikuwa kwenye intavyuu ya maswali na majibu. This revelation inaonyesha kwamba huyu mama alikuwa tayari ana desa la maswali atakayoulizwa!!!!!!!!!!!
ilikuwa ni intavyuu ya manazi wa fox au?
 
Hofstede

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2007
Messages
3,584
Likes
40
Points
0

Hofstede

JF-Expert Member
Joined Jul 15, 2007
3,584 40 0
Sioni chochote kibaya ku outline pointi zake kwenye kiganja.
Agree with you 100%, ila kama ingekuwa ni speech ambapo Obama yeye hutumia teleprompter. Ila inapokuja kwenye maswali ambapo assumption ni kuwa muulizaji na muulizwaji hawana mawasiliano ya nini kitaulizwa, na pindi tunapoona muulizwa tayari ana majibu kiganjani basi tunapata wasiwasi kuwa haya hayakuwa maswali bali ni zecomedy, yaani mmepanga before ili kuja kuonesha watu. Hapo tunasema Sister Sarah alikuwa na Desa which is very bad for a person who is eyeing to be tha US president. Tunasema hivi Sarah kwishnei kwenye hili.

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=tGJdYYTTv1c[/ame]
 
Forum statistics

Threads 1,204,952
Members 457,641
Posts 28,177,879