nomaa... hii biashara huwezi kutafuta mteje wa kumuuzia ukampata.... mara nyingi wao wakikuona na hizo sarafu ndio wanakuomba muuziane...
normally Makonda wa daladala ndio huwa agents... ndio maana hizi sarafu zinapungua kwenye circulation
mkuu hozo ni porojo tu ingekuwa hvyo wa kwanza kuzifanyia biashara ni wafanyakaz wa mabank mm nakwambia k2 ninachokijua c kukielewa 2
Embu kajaribu uone kama watakua nazo. Halafu uache ubishi mi mwenyewe nishaziuza za kutosha ila am nt sure kama bado ni deal.
kuna uwezekano uliwauzia waganga wa kienyeji au uliwauzia wale wenye fikra kama za watu weng kwenye thread hii sasa mm nataka nikupe dili sasa kama unaona ni dili ni PM number yako then kesho asubuh ntakupigia uje ofisini nikuchukulie coin za milion 3 ukaziuze then ulete mrejesho hapa JF kama umefanikiwa kuziuza

basi endapo hali hii itaachwa iendelee hivi hivi mkuu, hizi sarafu zikuja kupotea kabisa kwenye mzunguko.
dili kwenye nini?
hizi ni porojo kama za popobawa nani katumia mia tano kutengeneza chain ingekuwa hnyo wangeaza kuziiba wafanyakazi wa bank kuu nenda bank kuu then sema nataka coin za mia tano tano ata ukitaka za 100,000,000 trust me watakupatia
dili kwenye nini?
kuna uwezekano uliwauzia waganga wa kienyeji au uliwauzia wale wenye fikra kama za watu weng kwenye thread hii sasa mm nataka nikupe dili sasa kama unaona ni dili ni PM number yako then kesho asubuh ntakupigia uje ofisini nikuchukulie coin za milion 3 ukaziuze then ulete mrejesho hapa JF kama umefanikiwa kuziuza
Mzee leta kama unazo watu wananunua moja kwa buku 2 na mia tano
Tetesi nilizosikia zilikuwa zinauzwa hadi she 5,000 kwa moja.
Wakuu mimi natafuta coin za sh. 20 zile mwenye nazo ani PM
mkuu na Mimi nije?