Mara ya mwisho kuziona ilikuwa mwaka jana!!
Iringa zipo tunazitumia mkuu.Naomba kujua sarafu za shilingi mia tano bado zipo kwenye mzunguko wa fedha au zimeshaondolewa Maana hii nchi kuna vitu vingine vinafanyika kimagumashi magumashi tu au bado zipo kwenye mzunguko au mimi ndo sielewi !
zipo sana tu....ni jana nilipewa change...
Pamoja na kuwa kazi yangu inahusisha chenji mara kwa mara, lakini hizo sarafu zimekua adimu sana.
Kikwete na Beno Ndulu wanajua wanachokifanya ndani ya nchi hii.
Project ya watu hyo, watu wapiga hela wametambaa.
SINA HAMU NA CCM.
We uko wapi