Sarafu mpya yatolewa leo na BOT

Sarafu mpya yatolewa leo na BOT

Chagga King

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2011
Posts
1,928
Reaction score
1,164
SARAFU MPYA YATOLEWA: BoT leo imetoa sarafu mpya ya Sh500 itakayoanza kutumika rasmi Oktoba 2014, noti za Sh500 zitatumika hadi mzunguko wake utakapoisha.

SARAFU_full.jpg
 
SARAFU MPYA YATOLEWA: BoT leo imetoa sarafu mpya ya Sh500 itakayoanza kutumika rasmi Oktoba 2014, noti za Sh500 zitatumika hadi mzunguko wake utakapoisha.
 
Km kuna picha tunaomba utuwekee boss, hata hivyo inakuwaje wazindue sarafu Jumapili ambayo sio siku ya kazi?
 
noti za sh 500 zilipingwa tangu mwanzo baada ya kuthibitika kuwa ubora wake ni hafifu.
 
noti za sh 500 zilipingwa tangu mwanzo baada ya kuthibitika kuwa ubora wake ni hafifu.
 
Lakini kwa kweli kwenye mzunguko wa kifedha tunahitaji noti zenye thamani zaidi ya Sh 10,000, suala la kusema litazidisha mfumuko wa bei BOT ijipange vizuri kulidhibiti, angalau ziwepo za Sh 25,000.. manake ni usumbufu mkubwa sana kwa wale wafanyao biashara kubwakubwa za fedha taslim..kubebana nazo ni hatari hatari hatari, hawana amani kabisa..
 
Back
Top Bottom