Salam!
Usilolijua neno SANTA. lilibadilishwa herufi makusudi kutoka neno SATAN.
Tamaduni za watu wa magharibi huwafundisha watoto wao kumwandikia barua Santa Ili kuchagua zawadi wangependa pokea toka kwake.
Sasa huyo 🎅 avaaye mavazi haya na kugawa zawadi, behind the scene anayeabudiwa ni Satan.
Katika vitu Mungu huchukia ni Ibada ya Sanamu, na Mungu amesema mara nyingi kuwa Yeye ni Mungu mwenye wivu, na hapendi kushare utukufu wake na yeyote.
Ni hayo tu machache kwa wasiojua maana ya 🎅 na kuingia kichwa kichwa mkenge wa kugaiana zawadi kwa JINA la Santa.