Santa for Satan!

Santa for Satan!

Kwani Yesu mwenyw yule anaekaa kanisani si ni mzungu pia?

Mbona hakuna shida maana ukristo ni umagharibi na muasisi ni Roma empire

Sasa kuna shida gani hapo?
 
Unajua jina ni pamoja na mpangirio wa herufi, ukivuruga basi umebadili jina. mfano Musa sio sawa na Samu, hayo ni majina ma2 tofauti. Hivyo Santa na Satan ni. majina tofauti
 
Tarehe 25 December alizaliwa nani?

Fuatilia.
Hii ni ukumbusho tu watu wameamua kuienzi hii 25 dec kama Tz wanavyo ienz 9 dec kwan Tanganyika s ilikua imepata uhuru before hyo tarehe
 
Sawa umenena vyema,

Lakini umesahau kuwa Neno la Mungu ni lile lile, halibadiliki.

Anyway sipo kudiscourage ibada, ibada ni Kila siku, na ni vyema kukusanyika kumwabudu Mungu Kila siku,

Ninachopinga ni kuingizwa mapokeo kinyemela na kuyawekea utaratibu.
Acha kelele mkuu, tafuta pilau ule usisumbue watu
 
Kwani Yesu mwenyw yule anaekaa kanisani si ni mzungu pia?

Mbona hakuna shida maana ukristo ni umagharibi na muasisi ni Roma empire

Sasa kuna shida gani hapo?
Miungu na taratibu za kipagani za kirumi na kinafharibi ziwekwe pembeni,

Tusimpe neno kwa neno kama lilivyoandikwa.
 
Sawa umenena vyema,

Lakini umesahau kuwa Neno la Mungu ni lile lile, halibadiliki.

Anyway sipo kudiscourage ibada, ibada ni Kila siku, na ni vyema kukusanyika kumwabudu Mungu Kila siku,

Ninachopinga ni kuingizwa mapokeo kinyemela na kuyawekea utaratibu.
Neno la Mungu halibadiliki kwa Muktadha wake na ujumbe wake,wanaobadilika ni watu,huo mstari hua mnautumia vibaya na kushindwa kuelewa Ukielewa maana ya Neno (Word of God)
Ni kile Mungu alikisema iwe ni Ahadi,Baraka,Ustawi au hata Laana ingawa kwenye agano jipya kipengele cha laana hakuna ni Blessings kwa kwenda mbele hivyo ukitaka kuligeuza neno nenda kinyume na kile alichosema au ahidi kwa mfano Bwana Yesu alisema Ufalme wa Mungu upo ndani yenu,anakuja pastor anasema Ufalme wa Mungu upo Mbinguni hapo atakua amebadili neno,Nyingine Injili inasema Tunahesabiwa haki kwa Imani (Kwa kumuamini Yesu)
Anakuja Pastor anasema Ukitenda matendo mazuri ndio unahesabiwa haki na tiketi ya Mbinguni hapo neno limeguzwa so kwa muktadha huo nadhani umepata picha neno halibadiliki sasa kwa mantiki hiyo kuhusu Christmas Yesu alitupa mamlaka kwamba tutakanyaga nyoka na nge Christmas December 25 iliazimishwa na Wapagani sawa sisi wana wa Nuru tumeiteka na kufanya yetu maana tuna mamlaka hadi kuiamuru hadi kuzimu inatutii sio haja ya kuanza kuahangaika kwa Mkristo anayejitambua kujudge judge vitu,teka geuza laana kua Baraka kama kisa cha Baalamu kwa Israel nothing to fear dude!
😁😁
 
Kwa hiyo unataka kusema GOD = MUNGU na DOG = MBWA ni kitu kimoja?
 
Back
Top Bottom