Saniniu Laizer aahidi kupata jiwe kubwa zaidi la Tanzanite na kuahidi kuiuzia Serikali kwa uzalendo

Mtu mwenye $5M liquid Cash mnamuita mdogo, ila mfanyabiashara mwenye $15000 anaitwa mfanyabiashara wa kati na kila siku TRA wapo naye
Siasa za hii nchi bhana.
Udogo na ukubwa wa biashara/mfanyabiashara unakuwa determined na matakwa ya watawala (Only in TZ). Utashangaa Mangi anaeuza duka la jumla akaitwa mfanya biashara mkubwa kwa capital ya TSh 20m lakini kina Laizer wao ni wachimbaji wadogo walio wanyonge.
 
Hivi watanzania tupoje? Kwaiyo anachouza laizer sio tanzanite? Je Kama mgodi niwakwake kwakuwa amepata hayo mawe matatu aufunge ilikuwaridhisha nyie wapiga kelele? Haya tuambie Sasa wewe ungekua ndio ndg laizer ungelifanya vipi hiibiashara, kunawatu Bado wanatawaliwa na roho ya umasikini maana kupata apate mwingine ila kelele nyingi unapiga we...

Baadae utasikia bro hauna buku karibu hapo
 
Udogo na ukubwa wa biashara/mfanyabiashara unakuwa determined na matakwa ya watawala (Only in TZ). Utashangaa Mangi anaeuza duka la jumla akaitwa mfanya biashara mkubwa kwa capital ya TSh 20m lakini kina Laizer wao ni wachimbaji wadogo walio wanyonge.

Kwahiyo unafananisha biashara ya duka la Mangi na uchimbaji madini wewee?
Kajifunze kuhusu mitaji na biashara ili ujue kwanini biashara zina madaraja na viwango
 
Back
Top Bottom