Sanibel, Florida

Sanibel, Florida

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,109
Reaction score
53,632
breakers-palm-beach-florida.jpg.rend.tccom.1280.960.jpeg
 
Hivi kweli waengine tutapita hapa Duniani bila kuzishuhudia raha za huko mbele. Ngoja tuzichange.
 
  • Thanks
Reactions: iw8
Kunatamanisha mapumziko fulani amaizing..
 
Unajua wakati mwingine hii dunia ina maajabu.
Yaani unaweza ona kama unaishi vizuri, unakula, unalala pazuri.
Ila ukitazama watu wengine maisha yao yalivyo mazuri
Unaweza jiona kama vile hapa dunia upo kuwasindikiza wao.
Aaah yote tamaa tuu
Tulidhike na vitu vyetu.
 
Nilichokiona hapa kwenye picha ni hizo 60m na hao jamaa wametuzidi kwa kila kitu au kwa lugha nyingine ndo wametuletea hii elimu elimu elimu. Mbona wako 2m toka baharini?
 
Nilichokiona hapa kwenye picha ni hizo 60m na hao jamaa wametuzidi kwa kila kitu au kwa lugha nyingine ndo wametuletea hii elimu elimu elimu. Mbona wako 2m toka baharini?

Mkuu, mbona watu wamejenga hadi juu ya mito Denube, Rhur au Thames?

Huku Tanzania tuna wanasiasa vila.za tu.
 
Back
Top Bottom