Sanduku lazua taharuki Mwenge

DALALI MKUU

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2022
Posts
2,574
Reaction score
6,119
Hii habari nimeikota huko Facebook inasemekana kwamba huko mwenge kuna sanduku la Ajabu limeokotwa baada ya kutelekezwa stand hapo kwa siku tatu.

Je ni kweli muliopo hapo mwenge?
Ngoja niwawekee na link musikilize na kusoma wenyewe Facebook
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…