a sinner saved by Christ
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 3,675
- 4,215
wengine wamefikia kusema hakuna JEHENAMU ya moto..eti Mungu HAWEZI kuwachoma moto wenye DHAMBI..kwa vile wanafikiri Mungu WA Leo ni tofauti na WA enzi za ALIPOPIGA MOTO SODOMA na GOMORA tofauti na yule aliyeleta mafuriko wakati WA NUHU... OKAY OKAYA SAWA SAWA