Kumbe unajua kua kila mtu hupenda akitakacho,sasa ulikua unabwabwaja nini? Acha wivu kama umekauka kula balanced diet upate kamwili kidogo ili upunguze wivu,
Ieleweke kua sishabikii mwanamke kuonyesha maungo yake kwenye social media au popote pale.
Siyo kazi yako kuuona huo uzuri. Ukiona size yako haijadiliwi just kuwa mpole tu, labda wenye size zao wakienda kulala huenda na wewe ukajadiliwa kama utakuwepo around lakini.
Hukua unaongea na mimi? ulikua unaongea na nani?
umesahau kua JF ni free forums,ukisha weka comment yako hapa basi inakua sio yako tena na kila mtu yupo huru kuichangia,
Inaonekana uwezo wako wa kufikiri na uelewa wako ni mdogo sana,Pole sana flat screen,naona hii thd imekua ni mwiba kwako,kujichekesha chekesha kwako hovyo hakutokusaidia lolote,punguza tu chuki yako iliyochanganyikana na wivu kwa wenzako waliojaaliwa makalio.
ni yeye, bongo hamna mtu anaweza fanya CGI , kwanza kufanya cgi kwa dakika ni ela ndefu kichizi, sa mtu atumie ela zote izo alafu aje azivujishe ili nini sasa, mtu angefanya ivo lazima angem black mail uyo manzi, so yule ni sanchi atutolee ujinga na likyuma lake lichafu na ute ka kamasi