Sanamu za Wakubwa (Dutch Wife)

Sanamu za Wakubwa (Dutch Wife)

Profesa Hiroshi Ishiguro wa Chuo cha Osaka cha Japan ametengeneza robot anayofanana naye.

Pia, katengeneza robot wanaoweza kufanya mazungumzo madogo madogo na binadamu, kusoma taarifa ya habari kwa kutumia mtandao na kuongea lugha za kigeni kwa sauti mbalimbali ikiwemo ya kike na ya kiume.
Wanatingisha mikono na kichwa na kuweza kujibu maswali madogo ya kujitambulisha.

ImageUploadedByJamiiForums1437815687.962134.jpg

ImageUploadedByJamiiForums1437815706.361805.jpg

ImageUploadedByJamiiForums1437815739.511700.jpg

dogonews.com
 
Artificial intelligence ni real threat kwa human race...very soon tutaanza replace viungo vyetu kwa hiyo midoli
after a while teknoljia iki improve viungo bandia vitakua better kuliko viungo vyetu hapo ndo umuhimu wa kuzaana utakua hakuna...na some robots zitakuwa extra smart ni hatari sana

Ni maendeleo makubwa sana kupata viungo bandia.
Ushawahi kuwaza viungo vyako kuwa na deformity? Huna mkono, kidney failure au utumbo kuoza?
Ukipewa option ya kuwekea viungo bandia utakataa?
 
Nakubaliana na wewe Boss lakini ndiyo sayansi hiyo. Tunakwenda mbele tu, haturudi nyuma.

We gain some, we lose some.

Sasa wanasayansi wanafanya matengenezo madogo, kama kutengeneza mishipa ili kuwasaidia wagonjwa wa moyo, maini na figo (bionic repairs).

Wanaweka chip kwenye retina la jicho na kipofu anaona (sasa ugonjwa wa retinitis pigmentosa unatibuka kwa kiasi fulani - partial vision is better than no vision)

Windpipe iliyoathirika na kansa, wanaweza kukupa mpya iliyotengenezwa via your bone narrow cells na lab parts.

Pace makers za ubongo zinapachikwa kupunguza kutetemeka mwili kwa wenye Parkinson's .

Wanachunguza viungo vilivyoshatengenezwa sasa kama pancreas ili kutibu kisukari. Hata damu artificial ipo tayari, inachunguzwa.

Nadhani kutakuwa na ethics committee zitakazotunga sheria ili kuepuka matatizo unayozungumzia.

Kwa mfano, tuna elimu ya kumzalisha mtu anayefanana na wewe (cloning) lakini hairuhusiwi kutumika duniani kwa sababu bado siyo salama.
Viungo havikuwi vizuri katika tumbo.

Technology inatusaidia kuishi miaka mingi lakini pia inatupa matatizo ya maadili (ethics).

Tuna teknolojia ya kujua kama mtoto ana (genetic diseases ) magonjwa kama Dawn Syndrome au hana akiwa bado tumboni.

Nani ana haki hapo ya kufanya maamuzi magumu?

Mama au Serikali?

I'm supporting haya maendeleo.
Yanaokoa maisha ya watu wengi sana.
Cha muhimu ni ku-regulate bei hadi watu wa kawaida waweze kuafford.
 
Ni maendeleo makubwa sana kupata viungo bandia.
Ushawahi kuwaza viungo vyako kuwa na deformity? Huna mkono, kidney failure au utumbo kuoza?
Ukipewa option ya kuwekea viungo bandia utakataa?

Hujaelewa point
point ni hii viungo bandia vikizidi kui improve kuliko viungo asilia
watu watachagua hivyo hata wasiokuwa na ulemavu
itafikia hatua watu watakua na miili ya bandia na mahitaji kama sex yasiwe muhimu
na hapo human race itakuwa na threat ya kuzaliana
na viungo bandia watu wataishi miaka mingi zaidi au robot zita take over
umuhimu wa binadamu asilia utakuwa hakuna au kupungua
 
We don't even know how the brain function with all the mankind advancements in science and technology.

I highly doubt you and I will live long enough to see countries taken over by robots like in some Hollywood movies.

We are very far from that scenario.

However, should a body part be available and is proven to be superior than mine, I would be more than willing to exchange it. The benefits are obvious and far outweigh the risks.

Imagine enjoying a glass of whiskey and a cigar without having to worry about mouth cancer and scirrosis of the liver!

And that's just one of the benefits.
 
Haya mambo hayana budi kutokea...check hii documentary ya NO SEX PLEASE, WE'RE JAPANESE ujionee watu wana date na matoi na computer huku wakikwepa wanawake halisi gharama, magonjwa na commitment na bla blah ...and they enjoy it! pia ichek youtube, http://www.bbc.co.uk/programmes/b03fh0bg jamaa wanapendelea zaidi virtual girlfriends

Ahsante Mkuu.

Nafahamu hizo issues za Wajapani, Naishi nao.

Hii jamii ina vioja sana ikija mambo ya mapenzi na uhusiano wa binadamu japokuwa wana akili sana katika teknolojia.
 
Laana hii sasa mungu kawapa mwanamke nyie mnajifanyia sanamu khaaaa
 
Hujaelewa point
point ni hii viungo bandia vikizidi kui improve kuliko viungo asilia
watu watachagua hivyo hata wasiokuwa na ulemavu
itafikia hatua watu watakua na miili ya bandia na mahitaji kama sex yasiwe muhimu
na hapo human race itakuwa na threat ya kuzaliana
na viungo bandia watu wataishi miaka mingi zaidi au robot zita take over
umuhimu wa binadamu asilia utakuwa hakuna au kupungua

Thats their choice..
Afterall, its what they're doing currently.
 
Mmmmh sasa hapo si sawa na ku *** mait duh jamani mi wananitisha hawapepesi macho
 
We don't even know how the brain function with all the mankind advancements in science and technology.

I highly doubt you and I will live long enough to see countries taken over by robots like in some Hollywood movies.

We are very far from that scenario.

However, should a body part be available and is proven to be superior than mine, I would be more than willing to exchange it. The benefits are obvious and far outweigh the risks.

Imagine enjoying a glass of whiskey and a cigar without having to worry about mouth cancer and scirrosis of the liver!

And that's just one of the benefits.

Hebu soma hiii link
watu tayari washaona possibility hiyo in our life time..

Russian Billionaire Dmitry Itskov Plans on Becoming Immortal by 2045 | Motherboard
 
Hebu soma hiii link
watu tayari washaona possibility hiyo in our life time..

Russian Billionaire Dmitry Itskov Plans on Becoming Immortal by 2045 | Motherboard

Thanks for the link Boss.

He has a great team on his side to push with his project.

However, I still think he's still far from achieving his goals.

Once scientists discover how our brains function, the sky will be the limit as to how much we can do with AI.

We know very little how the nerve system work and how they send the messages to the brain. As a result, doctors can't treat people who damaged their spinal cords from accidents or who suffer from Celebral Palsy.

Neurology and robotics will advance by then, but not enough to make a robot take our place.
Humans are still the most sophisticated mammals in the world, and will remain so for the foreseeable future.

He will probably get a very sophisticated robot than we have right now. That's it.

That's my 2 cents.
 
Making a robot walk, answer simple questions or hug you is not the same as having the capability to show raw and sophisticated state of emotions like hugging your loved ones goodbye or even expressing different state of anger.

Besides, transfer of his personality to an android will still require him to "download" his brain to the avatar. I don't see that happening that soon.
Without that capability, it can't function like us. It can't be us.

It will be a great collaboration of AI and robotics, but not enough to make us immortals I think.

It will be interesting to see his prototype though.
 
Back
Top Bottom