Below averageLiko pale udsm kile kilima kama unakaribia nyumba ya vc. Hawa walioruhusu hili walikuwa wanafikiria nini? Mikono ya mtu au gorilla?
View attachment 549335
Nkurumah hall.....mikono mnyororo umekatika.......maana yake ni nin?unajua nkurumah hall mara nyingi shughuli gani hufanyika?unganisha dots!Liko pale udsm kile kilima kama unakaribia nyumba ya vc. Hawa walioruhusu hili walikuwa wanafikiria nini? Mikono ya mtu au gorilla?
View attachment 549335
Ukienda facebook 70% wameandika wamesoma UDSM ukiwauliza hilo sanamu lipo eneo gani wanatoa macho.Mnaosoma UDSM njooni mtufafanulie
Aisee..kwa nini sasa mkuuUkienda facebook 70% wameandika wamesoma UDSM ukiwauliza hilo sanamu lipo eneo gani wanatoa macho.
Sent using Jamii Forums mobile app