Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,545
- 15,781
Hata mi napenda hizo za hudhurungi….napenda sana hinna inavyonukia….is it wierd??Hzo zilzokolea sio aisee. For me lakin
Hata mi napenda hizo za hudhurungi .napenda sana hinna inavyonukia .is it wierd??
:smile-big::smile-big:....uko poa?Nah!nothing weird about it i see.ts just a matter v preferences dear
:smile-big::smile-big:....uko poa?
Niko poa mm :hug:...😉Poua sana.hope wewe pia miss gorgeous.
Niko poa mm :hug:...
hinna nikipaka kwenye kucha zinapasuka kucha zangu sijui kwa nini
huna nguvu za kike
acha kuninyanyapaaa
hahaha utani tuu!
Hata mi napenda hizo za hudhurungi….napenda sana hinna inavyonukia….is it wierd??
Ha ha ha maana siishi kuunusa mkono nikipaka hinna!!:lol::lol:Its not weird, Gozi langu nalo linapenda harufu ya hinna.
Enzi za mwalimu wanawake walikuwa wanajipamba kama hivi, lakini siku hizi wanachukua kemikali za kusafishia sakafu wanapaka usoni. Tabu tupu!
Hata mi napenda hizo za hudhurungi .napenda sana hinna inavyonukia .is it wierd??