Samweli sitta ni zaidi ya raisi kikwete | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Samweli sitta ni zaidi ya raisi kikwete

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by makongorosi, Dec 23, 2010.

 1. m

  makongorosi Member

  #1
  Dec 23, 2010
  Joined: Apr 24, 2009
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana Jamvi, kwa mtazamo wangu sita ni mzalendo wa kweli mwenye uchungu na nchi yake
  kwasababu kuu zifuatazo:
  -Uwezo wake kama spika kuruhusu mijadala ambayo imeweza kutishia uhai wa ccm.
  -Kuto wogopa mafisadi wenye fedha ambao wanaogopewa.
  -Kukataa kuwaangukia mafisdi.

  Nani asiyekumbuka jinsi ndugu Sitta alivyoweza kuruhusu mjadala wa richmond bungeni, ambao umeleta kitimutimu kufikia hatua ya EL kujiuzuru? kutoka na mkasa huu ndipo tulipojua udhaifu wa ccm, wengine tulikuwa hatujuhi.
  Sitta aliweza kushikilia msimamo wake wa kuwashambulia mafisadi bil kuigopa, inahitaji ujasiri kwa kweli kwani kama waziri mkuu mizengo pinda mwenye ulinzi madhubuti aliwagwaya mafisadi kwa kusema ni watu hatari, lakini Sitta aliendeleza mapambano nao.
  Kitendo cha Sitta kukataa kuwaomba radhi mafisadi mbele ya kamati ya usuluishi wa ccm ni kitendo cha ujasiri.
  Kweli sitta ni mzalendo mwenye uchungu na nchi yake na ni zaidi ya raisi, kitendo cha kikwete mtu ambaye yupoyupo asiyejali chochote kumpa uwaziri sitta ni ukweli tosha kuwa sitta ni zaidi y raisi.
   
 2. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #2
  Dec 23, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  unauliza au una-comment?
   
 3. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #3
  Dec 23, 2010
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,827
  Likes Received: 928
  Trophy Points: 280
  SIX for Tanzania tunakupenda na tunakuamini mzee SIX, usiwaogope majizi sisi tuko na wewe. wewe ni shujaa wa Tanzania sio muoga kama mkwere.
   
 4. K

  KunjyGroup JF-Expert Member

  #4
  Dec 23, 2010
  Joined: Dec 7, 2009
  Messages: 352
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  'd lov to differ nawewe. Alikuwa chairman wa Tanzania Investment Centre he knew mikataba ya migodi na vitalu ilikuwa mibovu yet hakufanya kitu. Uzalendo wake hapo uko wapi?
   
 5. L

  LAT JF-Expert Member

  #5
  Dec 23, 2010
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  i also don't mean to differ with you but TIC is not an autonomous organ.... it is under the axis of the state hence wapo chini ya wizara husika... sita could not blow any whistle.... but kama spika .... alikua ni kiongozi wa mhimili unaojitegemea na hauingiliwi na serikali ndio akaweza kuwa open and fight for the rights..... okay mkuu?
   
 6. Iteitei Lya Kitee

  Iteitei Lya Kitee JF-Expert Member

  #6
  Dec 23, 2010
  Joined: Jan 2, 2008
  Messages: 589
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Since 2000 we can SITTA ndie mtu wa decade!!
  For the past 10 years of CCM Government naamini tukio lile la 2008 was the worst and historic to them for that case I NAME SAMWEL SITTA AS THE MAN OF THE DECADE (2000-2010).
   
 7. STEIN

  STEIN JF-Expert Member

  #7
  Dec 23, 2010
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 1,764
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Mtu yeyote ambaye CCM hakuna msafi hata kidogo, Ukitaka kufahamu ufisadi wake tu Querry kwenye Database yetu wananchi (Dr. Slaa)

  Kwa hiyo hawana jipya.


  Peoples power
   
 8. G

  Gurtu JF-Expert Member

  #8
  Dec 23, 2010
  Joined: May 15, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Sitta hana lolote isipokuwa sasa hivi kwa sababu hakuna anachotegemea kupata wala kupoteza ndiyo maana ana ujasiri huo. Hata hivyo anajitahidi kujitutumua baada ya kuzidiwa kete na mafisadi
   
 9. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #9
  Dec 23, 2010
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,784
  Likes Received: 2,394
  Trophy Points: 280
  six ana ndoto za urais 2015,hana lolote!
   
 10. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #10
  Dec 23, 2010
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  katamka hadharani juu ya wamuliki wa Dowans, na kwamba kuwalipa ni kuhujumu uchumi, sasa pinda nae anasema tutawalipa, serikari yao inaheshimu sheria....huyu pinda? ananitoka sasa
   
 11. M

  Malyamungu JF-Expert Member

  #11
  Dec 23, 2010
  Joined: Jul 5, 2009
  Messages: 363
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Acha gadhabu bwana, pale TIC kuna huyo Ole Naiko hana ruhusa ya kusema au kubadilisha kinachkuja na siyo mahali pake pa kufanya judgement kuhusu mikataba.

  Ni mahali pa kupata ushauri uweke wapi hela ili upate hela ingawa pamechoka pia hakuna chochote pale very poor in the sense of information provisions. They have poor strtegic strengths na lack of data management.

  Sasa SIX kukaa pale yeye was just kivuli ningekuwa part of decision makers in economy ningemshauri JK akifute hicho kitengo.
   
 12. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #12
  Dec 23, 2010
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Hakama ni urais, anaweza fanya maamuzi sio kucheza ngoma moja na wezi wa mali za umma
   
 13. Kiraka

  Kiraka JF-Expert Member

  #13
  Dec 23, 2010
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 2,551
  Likes Received: 613
  Trophy Points: 280
  Sitta huyo huyo ndio aliyeua mjadala wa matekelezo ya maamuzi kuhusu Richmond pale alipotishiwa kufukuzwa uanachama hivyo kuacha uspika, nadhani hamjasahau hilo.Sitta ni mnafiki na ndio maana siku zote anajikuta pabaya. Ni wale wale tu asiwadanganye sasa kwa kuwa kakosa mfupa wenye mnofu.... kama kweli hafurahishwi na hali iliyopo kwanini bado yuko huko CCM?:embarrassed::embarrassed:
   
 14. Kiraka

  Kiraka JF-Expert Member

  #14
  Dec 23, 2010
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 2,551
  Likes Received: 613
  Trophy Points: 280
  Kula tano kwa kumwelewa mnafiki huyo!!!
   
 15. Sokomoko

  Sokomoko JF-Expert Member

  #15
  Dec 23, 2010
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Hata huyo Dr Slaa sio msafi mkienda kwenye database ya kanisa mtaona madudu yake, na ni aibu kwa mtu mzima mwenye umri kama Dr Slaa mwenye kuijua dini awe anavunja amri ya sita!

  Binafsi kila mmoja anamawaa yake na kila mtu ana sifa zake.
   
 16. Sokomoko

  Sokomoko JF-Expert Member

  #16
  Dec 23, 2010
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Tumkaribishe Sita Chadema basi!
   
 17. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #17
  Dec 23, 2010
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,592
  Likes Received: 3,887
  Trophy Points: 280
  People like talkings! kesho Sita akisema kuhusu Dowans then is hero! watanzania bwana, those people are continuing enjoying our money! yet other people talks and enjoy talking about them!!
   
 18. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #18
  Dec 23, 2010
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Ukiwaa na uwezo mdogo wa kufikiria ni tabu sana.
   
 19. n

  ngoko JF-Expert Member

  #19
  Dec 23, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 574
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Anyway mzee Six ni jasiri upande mmoja maana alikuwa wa kwanza kuitisha maandamano ya kumuunga mkono rais Mwinyi kwa uamuzi wa kufunga UDSM mwaka mzima ( alifurahia kuona chuo hakitoi matunda kwa mwaka mzima ... ) sijui kama alijua impact kwa hao walala hoi ambao leo anasema anawatetea na kuonekana mpiganaji. kwangu mimi naona ni mbinafsi zaidi ya mpiganaji ....
   
 20. M

  Mnyakatari JF-Expert Member

  #20
  Dec 23, 2010
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,557
  Likes Received: 488
  Trophy Points: 180
  Sitta ukimuangalia kwa haraka unaweza kumuona ni shujaa ndani ya CCM!Lakini kama ukiamua kukumbuka matukio yake unabaki kuwa hauna uhakika.Ni kweli aliruhusu mjadala wa wazi juu ya richmond mpaka kuunda kamati iliyowezeshwa na ofisi yake na hatimaye ukweli kujulikana.Lakini ni kweli alifanya hivyo kwa maslahi ya taifa?Au alikuwa na kisasi na mtu/watu?Kamati ilikuja na maazimio mengi lakini Sitta ndiye aliyefunga mjadala huku akina Dr.Slaa wakiwa bado wanamaswali ya msingi.Hata hili la Dowans Sitta anaendeleza uleule uadui wake wa kisiasa na hao wanaosadikiwa kuwa wamiliki.Moyo wa Sitta ulitulia baada ya kujiuzulu kwa Lowassa,je lengo lake lilikuwa limetimia?Nionavyo mimi kila pale ambapo Lowasa anahusika basi Sitta atapenda ajulikane kuwa anaonelea kinyume chake.Je maslahi ya wananchi ni yale ambayo anakuwa sababu au moja ya sababu kuyahujumu?Kuna mambo mengi mno ambayo hayaendi sawa lakini Sitta huwa yupo kimya tu.Ili Sitta akerwe na tukio basi maadui zake lazima wawe na maslahi kwenye ishu hiyo.Tumtafakari Sitta jamani,tusimtazame juu tu.Mwalimu mkuu wa watu Paschally Mayega wa Tanzania daima mwenzetu haoni uzalendo kwa Sitta,anachoona ni unafiki na kisasi.'Mimi nadhani tatizo hapa ni uwaziri mkuu'.Sio maneno yangu,ni maneno ya Edward lowasa aliyoyatoa siku anajiuzulu nafasi yake ya uwaziri mkuu.
   
Loading...