Samweli Sitta ni Mgonjwa

Status
Not open for further replies.
Ni wajibu kumpa pole na kumwombea apone. Lakini kusimamia vibaya bunge la katiba yeye kama mwanasheria kushindwa kumshauri rais kuwa idadi kubwa ya wabunge haiwezi tunga katiba ni maswala ambayo wengi watamkumbuka.
 
Mmoja umemtaja kwa jina, mwingine kwa cheo chake. Wanaoitwa Pengo wako wengi.

Usichoelewa unaachana nacho ,comments za watu humu sio Compulsory Questions kuwa lazima ujitutumue kujibu hata Kama huelewi!
 
Kama si kauli yake kali alioitoa dhidi ya watu wa Zanzibar kule ughaibuni UK! Mungu ampe afueni, nguvu,uimara wa afya na maisha marefu
 
Mlitaka aumwe nani kwa niaba yake n mambo yakawaida sana mtu akigua kwa sababu yeye n binadamu kama walivyo wengine
Pole sana Mzee wetu you will recover soon
 
Hadi kwenye magonjwa mnaleta siasa Sitta ni binadamu kama wengine tu
 
Hadi kwenye magonjwa mnaleta siasa Sitta ni binadamu kama wengine tu
Siasa ikiwa mbaya hadi afya ya jamii inaathirika. Katiba ikilinda mafisadi kwa kuondoa maadili na uzalendo fedha ya madawa utaitoa wapi? Ubinafsi wa utawala unaathiri hali ya maisha ya waliowengi ikiwemo afya na magonjwa humohumo! Kwahiyo magonjwa yana mahusiano na siasa! Kama binadamu ndio unaona tunamuombea maisha marefu.
 
Anatakiwa mwandishi wa habari makini muda na kipindi hiki anapoumwa akamuulize "hivi ni kweli kuna wabunge wa bunge la katiba walipiga kura wakiwa hija?

Tunaweza kupata jibu zuri sana.

Did that happen, ana dhambi nyingi za kuungama
 
Comments za humu ndani zinaonesha dhahiri kuwa watu wanaumizwa kwa vitu vingi ila hawapati mahala pa kuyaongea...km vingozi wengine mnaona hizi comments mjitahidi kufanya maamuzi ya haki utakumbukwa na kuombewa na wengi na mbingu itakuwa ni yako
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…