Samweli Sitta augua ghafla, alazwa

Status
Not open for further replies.
Hapa ni kama vita fulani kati ya makundi fulani...anyway, muda haugandi, itajulikana tu.
 
unataka uthibitisho gani??

Mkuu naona hapa itakuwa vigumu kujua yupi kati yako na Manyerere ni muongo!! Ngoja tusubiri uchaguzi uanze tuone kama atakuwepo jukwaani!! So far tutaendelea kumwamini Manyerere kwa vile ni verified user na ni mwanahabari!!
 
wabungenjaa Thibitisha kuwa mnafiki Sitta yuko fit usilete ngonjera
 
Last edited by a moderator:
Manyerere kanusha hii kama yako ni ya kweli. Mnatuchanganya, Sitta ndio tegemeo pekee kwenye hii shuhuli.

Sio kweli kuwa 6 ni tegemeo pekee ktk mijadala ya bunge la katiba labda useme ww ndio unaemtegemea. Wapo waTz maelfu kwa malaki wenye uweledi kuliko 6 na wenye uwezo wakuliongoza bunge kwa uhakika
 

Acha kulia lia kusema kuwa Sitta ameugua sio kumchukia. Wala wajumbe hawapigi kura kwa kuangalia JF imeandika nini.Hiyo ni taarifa huitaki acha unaitaka jipe muda upate uthibitisho...

Kanusho lako halina uthibitisho wowote, sihitaji hata kuwa na ordinary diploma kung'amua kuwa kati yako wewe na Manyerere Jackton nimuamini nani...Hujajitambulilsha, yeye kajitambulisha kwa majina yake, Hatujui kazi yako, yeye tunaijua kazi yake ni one of the prominent journalist. Hadi hapo hujaona tu which source is credible?

 
Last edited by a moderator:
Mie navyojua Mzee kingunge yupo kwa ajili ya waganga , sasa kwa nini wasimpeleke huko?
 
hehe THE FIXER yupo kibaruani ku FIX situation kwa maslahi ya nchi

wachache watanielewa:A S thumbs_up:
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…