wabungenjaa
JF-Expert Member
- Feb 21, 2014
- 1,782
- 337
Habari zisizo za uhakika ame RIP...nafuatilia zaidi
Jackson Mnyerere ni mwanahabari ana vyazo vyake vya ndani tutaendelea kuamini "Sitta aungua ghafla"
Hata ile siku yule mwanasiasa aliyekuwa akihutubia huku akionekana live, alipoanguka jukwaani huku watu tukishuhudia!, taarifa ilisema "ni mzima wa afya!, hana tatizo lolote la kiafya!" ule ulikuwa ni uchovu tuu!, fatigue!.habari wana jukwaa.
kumekuwa na taarifa zilizoletwa humu jukwaani na mwana jf mwenzetu kuwa mgombea uenyekiti wa bunge la katiba mh. samwel sitta amegua gafla. taarifa hizo sio za kweli, ni za uzushi, uongo na zipuuzwe.
mleta mada ana nia ya kupotosha ukweli na kutaka kuonyesha umma kuwa sitta ana matatizo ya afya ili kumpunguzia imani yake kwa wajumbe wa bunge la katiba wanaotarajia kupiga kura jioni hii ya kuchagua mwenyekiti wa bunge hilo.
NB. moderators wachukue hatua kwa mwana jf manyerere jakton ambaye ni verified member lakini muongo.
cc.
mods wote wa jukwaa la siasa
Kwanini mnapenda sana kukosoa taarifa nyeti? Nani mwendawazimu au punguani wa kumzulia jambo zito kama hili? Kama hamna la kuchangia nyamazeni tu.Uzushi mkubwa Mzee yuko poa kbsa
Kwanini mnapenda sana kukosoa taarifa nyeti? Nani mwendawazimu au punguani wa kumzulia jambo zito kama hili? Kama hamna la kuchangia nyamazeni tu.