Samweli Sitta augua ghafla, alazwa

Samweli Sitta augua ghafla, alazwa

Status
Not open for further replies.

Manyerere Jackton

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
2,438
Reaction score
4,461
Kuna habari kwamba mzee samuel sitta kaugua ghafla na kulazwa hospitalini dodoma. Wajumbe wanasema watampigia kura hata akiwa na drip wodini.

Chanzo cha habari hii ni mimi mwenyewe. Taarifa zaidi subiri saa 10 kupitia tbc wakionesha uchaguzi wa mwenyekiti moja kwa moja. Mola amponye.

Kwa kuwa mtoa taarifa ni verified user wa JF
Kwa kuwa alithibitisha kuwa na uthibitisho wa taarifa ya kuugua kwa Mhe. Sitta
Kwa kuwa mtoa taarifa ni mwanataaluma anayefahamu miiko ya kazi yake,
Kwa kuwa mtoa taarifa anajua kanuni na sheria za JF.

Imethibitika kuwa taarifa aliyoileta jukwaani si ya kweli. Amevunja kanuni na sheria za JF.
Amefungiwa kwa kosa hilo.
Angalizo linatolewa kwa wote wenye mwenendo unaofanana na huu

Paw
 
Pole zake na augue pole.., ila hii isije ikawa ni publicity stunt.., sababu hawa politicians anything is possible
 
Wanaweza kuwa wamemfanyia mambo yao,au ni mapenzi ya mungu au ni janja kwamba yule mama apite....
 
Kipindi kile walisema ni zamu ya mwanamke kama anataka avae skirt. Leo hakuna kipingamizi wamemwendea Bagamoyo kwa babu! Mhh! Hii nayo kali.
 
Kuna habari kwamba mzee samuel sitta kaugua ghafla na kulazwa hospitalini dodoma. Wajumbe wanasema watampigia kura hata akiwa na drip wodini.

Mashaka makubwa haya !!! Haya majamaa nivigagula sana wanaweza kuwa wanataka kupita mlango wa nyuma
 
kuna uzi ulianzishwa hapa kwamba mgombea MMOJA wa nafasi ya uenyekiti ataumwa ghafla.....sasa yule alieanzisha aje hapa atueleze huo ulikua utabiri au kuna kitu kingine ndani yake
 
Nina wasiwasi na yule muwakirishi wa waganga wa kienyeji huenda anaonesha vitu vyake kama lile kundi la kina Makonda lilivyofanya. Mpaka kupatikana kwa katiba kila kundi litakuwa limejipambanua.
 
Yote hiyo ni mipango iliyosukwa tu ili apigiwe kura kwa kigezo cha kuonewa huruma
 
Kipindi kile walisema ni zamu ya mwanamke kama anataka avae skirt. Leo hakuna kipingamizi wamemwendea Bagamoyo kwa babu! Mhh! Hii nayo kali.

CCM wako kichama zaidi baada ya kumuondoa Sitta kwa kisingizio cha zamu ya mwanamke si ajabu wakaleta kisingizio kingine kuwa sasa hivi ni zamu ya shoga.
 
Kwani hana "kamati ya ufundi"?

Kamati ya ufundi?! Yaani hujui kama mwenyekiti wa wachawi yupo inside? Kafunga milango yote ya mwingine kuwakinga adui zake hapa ilibidi wamwangukie kwa kumpatia fungu la fedha. Nasikia yule gwagula mkuu yupo kundi la Mamvi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom