Samwel Sitta: Siyoi Sumari hakuwa Chaguo la wanaCCM

Hakuwa chaguo la wana ccm!!!alafu anamuomba mwenyekiti gani asafishe chama wakati ni jk aliongoza vikao mara mbili na kumpitisha sioi? Tulieni mnyolewe
Mzee Six hana jipya tena; kishindo cha CDM kinatishia mawazo na ndoto zake az kuukwaa uraisi 2015
 
Inawezekana maneno yake yana ukweli ndani yake, chakujiuliza ni kwa nini hawakumzuia huyo aliyekuwa anampandikiza na kumweka aliye chaguo la CCM?
Sio tu inawezekana, bali yuko sahihi kabisa. Tatizo la CCM (na baadhi ya vyma vyengine) huwa wanalindana na kwa kuheshimiana kiwoga. Hii inaonesha hata kama mtu atakuwa na mawazo pumba, anapigiwa makofi na hoja inapitishwa. Ninachomshangaa Mzee 6, alikuwa wapi mzee mzima wa chama mpka akapitishwa mtu asiyekubalika na chama chake? Wao si ndio walimchagua, au wamechaguliwa na CDM?

Masikini CCM imekuja kukumbuka shuka tayari kumeshakucha.
 
Hawa wakina Sitta, Lusinde na hamnazo wengine walioko CCM ni watu wa muhimu sana katika kulikomboa taifa letu. Hawa ni kama catalyst maana wanaisaidia chadema kuharakisha kifo cha ccm from within. Tuendelee kuwaombea watoe kauli tata na kufarakanisha chama chao kama wanavyofanya sasa. Hongera sana Sitta, Lusinde & co.
 
maneno ya mkosaji hayo hamna jipya..yaani apo na bado ndo kama picha limeanza vile.
 
images

huyu Mzee ni mnafiki mkubwa, leo ndiyo anaona hilo..., Hakuna cha Mwenyekiti wa Chama wala nani swalala msingi ni waTZ tumechoka na wizi unaofanywa mchana kweupe.

Hata CCM ishukiwe na Roho mT. Hatutawaamin tena tumewapa nchi kwa miaka hamsini ni ufisadi tu......

Tena hawa wa kuuma ni kupuliza ni wabaya sana... Hawa kina ole sendeka, Kilango, Sita ni nuksi tangu Uhuru hadi leo wana ng'ang'ania tu madaraka....

Dawa ya ni kuwa SIOI tu... Hawana jipya
 
Kusafisha chama vipi, wakati walishashindwa siku nyingi! Sikio la kufa halisikii dawa!
 
1. CCM ni chama cha mafisadi kuanzia viogozi wake na wanachama wake wote.
2.Sitta ni kiogozi na mwanachama wa CCM.
Kwa kua Sitta ni mwana ccm naye ni fisadi.
kama anabisha ili atoke ccm.
hakuna wakuwa na imani nae katika chama cha mafisadi,wote wana damu ya kurithi ufisadi,uchu wamadaraka, na mali.kwahiyo awe sitaa.anna kilango,mwakyembe,ole sendeka na wote wanao jiita wapambanaji wa ufisadi ndani ya ccm ni mafisadi.kamwe hatutaenda kuchanganywa na maneno yao huku mioyo yao inatumia damu ya ufisadi na dhuluma.
tutaenda kupata uongozi unatumia nguvu ya wananchi nasio mtu mmoja mmoja.

viva tz,viva tz mpya ya 2012,viva wanamapinduzi wenye uchungu wanchi na waukweli,viva wana arumeru,viva watanzania wote.
 
Nimeshangazwa sana kusikia Mh. S. SItta
akisema Sioi hakuwa chagua la wanaccm maana kapandikizwa
kwa mizengwe.

Akiongea kwa masikitiko kwa ccm kuzidi kudhoofika na kutokukubalika
kwa wananchi amamuomba mwenyekiti wa chama kusafisha chama ili nyota
ya chama ianze kung'ara. Hii ni kwa mjibu wa sitta baada ya kuongea na waandishi wa HAbari

images



Mytake:

Naona chama kinazidi kuparaganyika na sitta anazeeka vibaya
maana unafiki wake ndo unamponza

mnafiki mkubwa....

Urambo Mashariki imemshinda, yeye anadhani vile anvyomudu kuwaongopea wanyamwezi wakampigia kura nje ndani basi ndiyo watu wote wawe hivyo hivyo.....halafu eti anataka urais come 2015, shame!

nimekaa Tabora for a year now,Sitta, Kapuya, Rage are a disgrace to the people of Tabora.
 
sita anajidhalilisha, mbona hakusema kabla ya uchaguzi?
Nadhani ni wakati muafaka sita kuachana na siasa akapumzike,
maneno yake yakipuuzi yatamfikisha kubaya
 
Nimeshangazwa sana kusikia Mh. S. SItta
akisema Sioi hakuwa chagua la wanaccm maana kapandikizwa
kwa mizengwe.

Akiongea kwa masikitiko kwa ccm kuzidi kudhoofika na kutokukubalika
kwa wananchi amamuomba mwenyekiti wa chama kusafisha chama ili nyota
ya chama ianze kung'ara. Hii ni kwa mjibu wa sitta baada ya kuongea na waandishi wa HAbari

images



Mytake:

Naona chama kinazidi kuparaganyika na sitta anazeeka vibaya
maana unafiki wake ndo unamponza

CCM haina kiongozi mzuri. Wote wachumia tumbo na hawana maadili.
 
ccm waanze naaliyempitisha mara 2.Sitta kapoteze muelekeo, wasi wasi anaweza hakose sehemu yakuegemea siku si nyingi
 
Nimeshangazwa sana kusikia Mh. S. SItta
akisema Sioi hakuwa chagua la wanaccm maana kapandikizwa
kwa mizengwe.

Akiongea kwa masikitiko kwa ccm kuzidi kudhoofika na kutokukubalika
kwa wananchi amamuomba mwenyekiti wa chama kusafisha chama ili nyota
ya chama ianze kung'ara. Hii ni kwa mjibu wa sitta baada ya kuongea na waandishi wa HAbari

images



Mytake:

Naona chama kinazidi kuparaganyika na sitta anazeeka vibaya
maana unafiki wake ndo unamponza

Tatizo la uchaguzi wa Arumeru sio Sioyi kama mgombea, bali CCM kama chama cha kisiasa. Chama kinachotoa tu ahadi kila wakati kampeni lakini hakuna utakelezaji hakiwezi kukubalika.
 
Back
Top Bottom