Samwel Sitta: Siyoi Sumari hakuwa Chaguo la wanaCCM

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675
Nimeshangazwa sana kusikia Mh. S. SItta
akisema Sioi hakuwa chagua la wanaccm maana kapandikizwa
kwa mizengwe.

Akiongea kwa masikitiko kwa ccm kuzidi kudhoofika na kutokukubalika
kwa wananchi amamuomba mwenyekiti wa chama kusafisha chama ili nyota
ya chama ianze kung'ara. Hii ni kwa mjibu wa sitta baada ya kuongea na waandishi wa HAbari

images



Mytake:

Naona chama kinazidi kuparaganyika na sitta anazeeka vibaya
maana unafiki wake ndo unamponza
 
...alisimama kwa chama gani!?
...mbona mpaka mzee wa "busara" wa chama alienda kumuuza!
Hata mie nina mawazo kama yako mbona kwenye mikutano yao hao wana magamba walikuwa wakipiga kampeni ya nguvu hatuwahi kusikia hata mmoja akitamka kinyume.Sitta na Mwakyembe kweli wanachefua.
 
Inawezekana maneno yake yana ukweli ndani yake, chakujiuliza ni kwa nini hawakumzuia huyo aliyekuwa anampandikiza na kumweka aliye chaguo la CCM?
 
Back
Top Bottom