Samwel Sitta: Siyoi Sumari hakuwa Chaguo la wanaCCM

Na wakimaliza kuzungukana watuambie maana bakora sasa tunayo. na tunajifunia kua nayo sasa ingawawa walikukuwa wameibania. ...... Akina 6 tulieni kama ni maneno tumevimbewa.
 
Sitta!...kumbe ndio anazinduka huyu mnafiki wa kutupwa! Naona wakati Sioi anashinda kura za maoni mara mbili zote alikuwa anauchapa kama kawaida yake. Kuamka tu huyoo...anaanza kupayuka, oh na mimi 2015 nautaka Urahisi! Too late buddy, pole sana nasikia na huko Mwanza mmeangukia pua, mpiganaji, my foot!

SIX.jpg


Eti sasa ndio anaamka, masikini!

images


CCM kwa usanii!
Mwinyi - mwenzetu, mpole, mzee ruhsa
Mkapa - mwenzetu, toto tundu, mr.clean
Kikwete - mwenzetu, handsome, mr. tabasamu
Sitta - mwenzetu, mchapa usingizi, mr. viwango

 
Jamii forums ni changamoto ya nani Watanzania wanaotaka mabadiliko ya kijamii au Jamii forums iko kwa ajili ya kupinga chama cha tawala CCM ? Naomba ufafanuzi wa wadau katika ukumbi huu , Kwa mtizamo wa haraka sana naona Jamii forums hajaweza kutoa Elimu ya kutosha kwa Watanzania ila ajenda kubwa sana iliyopo ni kuendelea kutoa shutuma za chama tawala tuu jee sawa
umoja
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom