Kasema hivyo baada ya kuona zile wizara 4 zilizokuwa zimebaki zimejazwa na hatanafasi za ubunge wa kuteuliwa na Mh raisi nazo ndio zinayoyoma ,sasa kaziiliyobaki ni kuwa mwenyekiti wa wakulimawa tumbaku na wale wa kurina asali baasi,yatosha.
Kuna kitu watu hawakijui kumhusu Magufuli, hoja ya kuwa anashauriwa vibaya sii hoja, kwasababu Magufuli ninayemfahamu mimi, hashauriki, na hana hata chembe ya busara!, Magufuli ni mtu wa maamuzi magumu kwa haraka, pupa na papara!.
Wengine hili tuliliona na tukalisema mapema tuu!, tena huu ni mwanzo!, nawaambieni subirieni tuu, na ikitokea akanogewa na urais, kile kipengele cha two 5 yeas terms kitaondoka and no one can stop himi!, mtaniambia!.
[h=3]If you can't beat them, join them! He is the worst dictator.[/h][h=3]Kwa Kasi Hii ya Magufuli na "Hapa Kazi Tuu", Hivi Kweli Kuna [/h] Merry X-mass & Prosperous NY!.
Pasco

yaani huyu mzee simpendi tangu aharibu katibaHuyu mbakaji wa mchakato wa katiba mpya has no moral authority to speak about anything essential to this country. he had his time but he wasted it.
Sita roho inamuuma kimya kimya, katiba mpya ndio iliyommaliza
His Excellence JPM ni kabila gani wandugu?...
Nasikia ni msukuma na nilishawahi kumskia anaongea kisukuma
Nasikia ni msukuma na nilishawahi kumskia anaongea kisukuma
naunga mkono hoja anayebisha asome historia ya hitler alianzanje,aliingia kwa nia za kidemokrsia alivyonogewa sasa,wameshaanza kupiga marufuku mikutano ya kisiasa kwa vyma sasa si vifutwe tu tujue tuko korea kaskaziniKuna kitu watu hawakijui kumhusu Magufuli, hoja ya kuwa anashauriwa vibaya sii hoja, kwasababu Magufuli ninayemfahamu mimi, hashauriki, na hana hata chembe ya busara!, Magufuli ni mtu wa maamuzi magumu kwa haraka, pupa na papara!.
Wengine hili tuliliona na tukalisema mapema tuu!, tena huu ni mwanzo!, nawaambieni subirieni tuu, na ikitokea akanogewa na urais, kile kipengele cha two 5 yeas terms kitaondoka and no one can stop himi!, mtaniambia!.
If you can't beat them, join them! He is the worst dictator.
Kwa Kasi Hii ya Magufuli na "Hapa Kazi Tuu", Hivi Kweli Kuna
Merry X-mass & Prosperous NY!.
Pasco
Kula TANO mkuu....siku hizi waficha kitufe cha LIKENi rahisi kumsamehe JK makosa yote aliyotufanyia but Sitta kosa la kuchakachua katiba ya wananchi(ambayo ingeleta Tanzania Mpya) kamwe hatuwezi msamehe.
Mkuu JF unajua sipo sana inatia kichefuchefu sana. Its a matter of time CCM wanaishi kwa mafuta ya kijiko.Hizi hypes za magufuli zinamwandaa kupata aibu kubwa zaidi.na ndipo mafuta ya ccm yataiasha kabisa. Kinachotokea ni magufuli kutafuta umaarufu wa muda na kuvuta masikio ya watu wengi zaidi ili atakapochemsha zaidi watu wengi wamsikie na kumwona. Watz wanakuwa radicallized kwa level ambayo siku wataamka hawatataka tena uongo.Huu utawala utawaacha kando wenye akili wengi na kuchukua mashabiki....CC: Nicholas
Mkuu JF unajua sipo sana inatia kichefuchefu sana. Its a matter of time CCM wanaishi kwa mafuta ya kijiko.Hizi hypes za magufuli zinamwandaa kupata aibu kubwa zaidi.na ndipo mafuta ya ccm yataiasha kabisa. Kinachotokea ni magufuli kutafuta umaarufu wa muda na kuvuta masikio ya watu wengi zaidi ili atakapochemsha zaidi watu wengi wamsikie na kumwona. Watz wanakuwa radicallized kwa level ambayo siku wataamka hawatataka tena uongo.