ngudengude
JF-Expert Member
- Jul 2, 2015
- 1,175
- 466
Kuna kitu watu hawakijui kumhusu Magufuli, hoja ya kuwa anashauriwa vibaya sii hoja, kwasababu Magufuli ninayemfahamu mimi, hashauriki, na hana hata chembe ya busara!, Magufuli ni mtu wa maamuzi magumu kwa haraka, pupa na papara!.
Wengine hili tuliliona na tukalisema mapema tuu!, tena huu ni mwanzo!, nawaambieni subirieni tuu, na ikitokea akanogewa na urais, kile kipengele cha two 5 yeas terms kitaondoka and no one can stop himi!, mtaniambia!.
If you can't beat them, join them! He is the worst dictator.
Kwa Kasi Hii ya Magufuli na "Hapa Kazi Tuu", Hivi Kweli Kuna
Merry X-mass & Prosperous NY!.
Pasco
Asije tu akafuta vyama vingi maana katika kampeni nilisikia akisema CCM inawezakujibadili na kuleta mabadiliko kama ilivyo chama cha kikomunisti cha China!Kuna kitu watu hawakijui kumhusu Magufuli, hoja ya kuwa anashauriwa vibaya sii hoja, kwasababu Magufuli ninayemfahamu mimi, hashauriki, na hana hata chembe ya busara!, Magufuli ni mtu wa maamuzi magumu kwa haraka, pupa na papara!.
Wengine hili tuliliona na tukalisema mapema tuu!, tena huu ni mwanzo!, nawaambieni subirieni tuu, na ikitokea akanogewa na urais, kile kipengele cha two 5 yeas terms kitaondoka and no one can stop himi!, mtaniambia!.
If you can't beat them, join them! He is the worst dictator.
Kwa Kasi Hii ya Magufuli na "Hapa Kazi Tuu", Hivi Kweli Kuna
Merry X-mass & Prosperous NY!.
Pasco
Hata sisi tulishapita huko. Enzi za Nyerere pamoja na kuwakuna kipindi hatukuwa na bidhaa madukani, watu walitembea nusu uchi au kuvaa bipande vya nguo/magunia, lakini tukipiga kura tunampa juu ya asilimia 80! Ya Wanyarwanda si ya kushangaza yalitegemewa.Mbona Wanyarwanda wameendelea kumuamini Kagame tena kwa Wingi.
Magu akitutoa tulipo akae milele.
Unaandika kama upo kwenye vijiwe vya kahawa. .do you have any relevant examples to support your claims? Eti hashauriki. .mnataka mtu wa kucheka cheka sio? Magufuli ni zero tolerance na ndio tunataka rais wa hivyo. Izo hearsay zenu peleka hukoKuna kitu watu hawakijui kumhusu Magufuli, hoja ya kuwa anashauriwa vibaya sii hoja, kwasababu Magufuli ninayemfahamu mimi, hashauriki, na hana hata chembe ya busara!, Magufuli ni mtu wa maamuzi magumu kwa haraka, pupa na papara!.
Wengine hili tuliliona na tukalisema mapema tuu!, tena huu ni mwanzo!, nawaambieni subirieni tuu, na ikitokea akanogewa na urais, kile kipengele cha two 5 yeas terms kitaondoka and no one can stop himi!, mtaniambia!.
[h=3]If you can't beat them, join them! He is the worst dictator.[/h][h=3]Kwa Kasi Hii ya Magufuli na "Hapa Kazi Tuu", Hivi Kweli Kuna [/h] Merry X-mass & Prosperous NY!.
Pasco
Mgambo wanaruka na kukanyagana.Wanaruka kinyamaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
huyu anashauriana na wasaidizi/wataalam wake na kukubaliana. ni msomi mzalendo wa ngazi ya Phd.Ni kweli anaangushwa na washauri wake
Asije tu akafuta vyama vingi maana katika kampeni nilisikia akisema CCM inawezakujibadili na kuleta mabadiliko kama ilivyo chama cha kikomunisti cha China!
Masikini Sita ameamua kujidhalilisha kama kweli katoa kauli hiyo kweli ana haki ya kustaafu siasa,
Nakumbuka alipokuwa spika wa bunge la tisa kuna wakati aliwahi kumwambia kikwete aongeze ukali kidogo.
Sasa hivi tumepata raisi mkali asiyevumilia uovu anasema anashauriwa vibaya nini maana yake?
Huyu ni wa kupuuzwa apumuzike tu.
Tena akae kimya vinginevyo yeye mwenyewe atakuwa jipu.
Limetokea wapi? Nafiki na saliti kuu.