Samwel Sitta kulipuka Jumatatu!

ama kweli somesha MASAI ujute maisha yako yote!!
 
Ridiwani china hajasahau,akfungua ndomo tu kila punje ya unga hadharani
 
Aanze na CCJ na jinsi alivyowasaliti wenzake kina Mpendazoe
 
Kwani Sitta toka ameanza kutoa kauli za kuipinga serikali yake ya ccm pamoja na huo ufisadi anaousema ni lipi limefanyiwa kazi? Ninavyofahamu mimi huo Sitta nao anakundi ndani ya ccm kwa hiyo sitegemea kama atazungumzia makundi ndani ya chama labda kama atakuja kutwambia kuwa kundi la Lowasa limewazidi kwa hela na watu wanaolikubali, pia ningependa kumwambia Sitta atakama atazungumza hakuna litakalofanyiwa kazi na hawezi kupambana na mafisadi wakati uko ndani ya chama kinachokumbatia ufisadi.
 

Kwa hawa UWT na JUMUIYA YA WAZAZI waoga sana. Wapi Abdalah Bulembe tunahitaji kusikia Busara zake. Wapi Le Mutuz hawa si ndio viongozi wa wazazi CCM
 

Mkuu Ben usimalize kuni zote wakati huu,huko mbeleni kuna Masika kubwa inakuja,chochea kidogo kidogo tuu,teh teh teh.
 
Ila Sitta ni Muoga sana sijui kama atakuwa na Guts za kumjibu Kiyabo ishu ya CCJ maana nasikia ule mchango wake wa 500, 000 uko kimaandishi
 
Ndani ya ccm kuna ccm maslahi na ccm halis! Sitta yeye yuko ccm halis! 6 go go..
 
Wapi Madada Pacha Simiyu Yetu na Simiyu Voice,Ritz,Msalani,Ifweero,Dada Hamida,Mwekundu,Chamviga et al.
 
Watuache na Lowasa wetu..... Ashachelewa hata alipuke vp....
 
...weweee alipuke tu mpaka wawake moto na wateketeee magamba wooote...
 
Ningependa awe na magufuri.mwakyembe. hapo mambo yatakuwa byeee
 
Nijuavyo mimi ni kwamba sitta ni mnafiki sana ndiye aliyewazuia wabunge kuendelea kuhoji richmond a.k.a dowans akiwa spika.hii ilitokana na kutishwa na ccm kwamba wanamnyang'anya kadi kisha anapoteza ubunge.ndipo akasalimu amri hivyo hata kama atasema lolote sikubaliani nae na yeye ni gamba tu.
 
Uyo babu wa Gerezan Ritz huwezi muona hapa..
 
Ila Sitta ni Muoga sana sijui kama atakuwa na Guts za kumjibu Kiyabo ishu ya CCJ maana nasikia ule mchango wake wa 500, 000 uko kimaandishi

Hivi Zitto alichanga ngapi au yeye alichanga Chauma.?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…