Samwel Sita, Ana Killango ,Harison Mwakyembe na wengine kadhaa mliokuwa mnajiita mitume kumi na wawili hamna lolote wala hapakuwa na ufisadi wowote mliokuwa mnajifanya wapiganaji wa ufisadi bali maslahi binafsi .Tulijaribu kusema kwamba sita alikuwa na hasira na lowasa kwa sababu alinyimwa uwaziri Mkuu kwa kuwekewa" kauzibe" na lowasa
Tukasema mwakyembe alikuwa kambi ya mwandosya na ana hasira kwa wanamtandao kumkosesha mtu wake Urais, Tukasema Bernard Membe alikuwa na hasira na Lowasa kwa sababu Serikali ya kwanza ya Jk alipewa Unaibu uwaziri kwa sababu Lowasa alikuwa anamwelewa vizuri Membe kuwa ana uwezo mdogo (Reasoning capacity yake ni ndogo) ,Mama kilango yeye ana hasira na lowasa kwa sababu Malecela alikosa Urais.Naamini hata leo ukifanywa uchunguzi huru itathibitika kwamba kila mmoja wenu kwenye mitume 11 alikuwa na maslahi ambayo yalikwamishwa na Lowasa ndio maana wakajiunga kummaliza mzee mwenye mvi nyingi kichwani
Haya yamethibitika baada ya sita kuteuliwa uwaziri na akakubali ,uteuzi wa Rais sio wa lazima unaweza kuukataa tena kwa lugha nzuri ambayo haitamkwaza Rais.Lakini kitendo cha Sita na Mwakyembe kukubali kimethibitisha kuwa hawa ni watu hatari kuliko hata waliokuwa wanawatuhumu ,CCM ni walewale wakizidiana wanatumia kila fursa Kumalizana ?ni mfano wa vibaka waliokwenda kuiba walipopata cheni ya dhaabu walioishika wakawaingiza wenzao mjini.walichofanya walioingizwa mjini wakaenda kuwaripoti waliowaingiza mjini polisi .Ndicho mlivyofanya pale mwlipowaripoti mafisadi wenzenu wananchi wakawapigia kelele wakajiuzulu halafu nyinyi mkaingia serikalini kuendelea kula
Sasa Rais Kamteua Mrindoko mliemtuhumu kwa Ufisadi,sita na Mwakyembe wameteuliwa na Rais na Mrindoko kateuliwa na Rais ngoma droo na bado wanaendelea kubaki kwenye serikali hiyo hiyo ya Mbayuwayu huu ndio ufisadi mbaya kuliko wote
Kimsingi Sitta na Mwakyembe wasipojiuzu baada ya uteuzi wa mrindoko ina maanisha kuwa walikuwa wanafanya usanii kwa kudandia hoja ya chadema ya ufisadi. Au maelezo ya kwenye thread hii ni ukiweli mtupu. Kazi kwao. Upepo wa mwaka 2015 utawashinda hata kwa ngazi ya ubunge.

Nakubaliana na wewe reasoning capacity ya Membe ni ndogo mno, licha ya kuwa balozini kwa miaka 8 ona anavyojibu maswali hapa!

Inamaana wewe hujui kuwa ile richmond ni kesi ya kupika, Ilipikwa Vatican na mwakiyembe mwenyewe akishirikiana na wakatoliki wenzie na mkuu wa kaya baada ya kuona hakuna mkatoliki hata mmoja katika nafasi tatu muhimu baada ya Lowasa kujiuzulu ndo akapatikana yule mkatoliki ndo wametulia ila bado wanachuki na Rais kwa kuwa ni muislamu.:happy:
Hizi hoja ni za kupeleka mirembe unaweza kupata watu wa kuzisikiliza.Inamaana wewe hujui kuwa ile richmond ni kesi ya kupika, Ilipikwa Vatican na mwakiyembe mwenyewe akishirikiana na wakatoliki wenzie na mkuu wa kaya baada ya kuona hakuna mkatoliki hata mmoja katika nafasi tatu muhimu baada ya Lowasa kujiuzulu ndo akapatikana yule mkatoliki ndo wametulia ila bado wanachuki na Rais kwa kuwa ni muislamu.:happy:
Inamaana wewe hujui kuwa ile richmond ni kesi ya kupika, Ilipikwa Vatican na mwakiyembe mwenyewe akishirikiana na wakatoliki wenzie na mkuu wa kaya baada ya kuona hakuna mkatoliki hata mmoja katika nafasi tatu muhimu baada ya Lowasa kujiuzulu ndo akapatikana yule mkatoliki ndo wametulia ila bado wanachuki na Rais kwa kuwa ni muislamu.:happy:
Matatizo ya kutojua leo utakula nini ndio yanasababisha watu wanakuwa na akili kama hii...Inamaana wewe hujui kuwa ile richmond ni kesi ya kupika, Ilipikwa Vatican na mwakiyembe mwenyewe akishirikiana na wakatoliki wenzie na mkuu wa kaya baada ya kuona hakuna mkatoliki hata mmoja katika nafasi tatu muhimu baada ya Lowasa kujiuzulu ndo akapatikana yule mkatoliki ndo wametulia ila bado wanachuki na Rais kwa kuwa ni muislamu.:happy:
CDM kwa kujifagilia hatuwawezi!!! Wewe bwana tupe mikakati yenu ya kutatua kero Ubungo, tangu tumewapa jimbo, mpo busy na maandamano endelevu badala ya kushughulikia mahitaji wa wapiga kura.
. Wewe ni kiwavi jeshi cha Mukama Huns lolote katafute tu chakula ule ukalale huna lolote la maana.Inamaana wewe hujui kuwa ile richmond ni kesi ya kupika, Ilipikwa Vatican na mwakiyembe mwenyewe akishirikiana na wakatoliki wenzie na mkuu wa kaya baada ya kuona hakuna mkatoliki hata mmoja katika nafasi tatu muhimu baada ya Lowasa kujiuzulu ndo akapatikana yule mkatoliki ndo wametulia ila bado wanachuki na Rais kwa kuwa ni muislamu.:happy: