Mbali na kusema atachukua hatua gani? Yeye ndio maana anasema angekuwa yeyey rais asingelipa Dowans, kukema kwa nafisi yake inatosha hana nguvu za sheria kufanya zaidi. Mimi binafsi naona akigombea Dr Slaa na Sitta mimi nitaenda kulala nikiwa na hakika nchi itachukuliwa na mikono salamakusema sio ujasiri!achukue hatua.
waliojitolea kupambana hawapo ccm!mcheki dr slaa!
Kama kawaida Watanzania wenye fikra mgando wanaendelea kuimba wimbo waliokaririshwa pasi kufikiri...Mnafiki....Mnafiki....Mnafiki, CCM wote Wanafiki...Wanafiki...Wanafiki, upumbavu mtupu!!
Ebu endeleni tu kuimbaimba huo wimbo huku pasi kujua mkiwakatisha tamaa waliojitolea kupambana na uovu, kuipa nguvu kambi ya waliojitolea kula pesa za nchi.
Mbali na kusema atachukua hatua gani? Yeye ndio maana anasema angekuwa yeyey rais asingelipa Dowans, kukema kwa nafisi yake inatosha hana nguvu za sheria kufanya zaidi. Mimi binafsi naona akigombea Dr Slaa na Sitta mimi nitaenda kulala nikiwa na hakika nchi itachukuliwa na mikono salama
Your right. Hata kama ni mnafiki kwani shida ni nini kama anatetea maslahi ya Taifa? Hao wanaojua maovu ya nchi hii na hawasemi sio wanafiki? Mimi nijuavyo mnafiki ni mtu anayezungumza kitu asichokiamini. Hakuna ushahidi kuwa Sitta hayaamini anayozungumza. Alishafika mahali hata akanukuu maneno ya Bible yasemayo: Kuishi kwangu ni Kristo na kufa kwangu ni faida. Sasa mtu bold kama huyu unataka afanye nini zaidi?
Hapo kwenye red hapo. Sema unamuhitaji wewe. Sisi wengine hatumtaki hata kumuona akigombea ujembe wa Nyumba kumi kumi.
Ameishalipa pesa za dowans?Jina la Samwel Sitta lilipotajwa ili apokee recognition pale udsm kama Spika aliyesoma kitivo cha sheria alishangiliwa sana. Ukumbi ulilipuka kwa shangwe. Kushangiliwa kwake tena na wasomi inaonyesha watanzania wana imani kubwa nae. CCM wakifanya mizengwe namshauri ajiunge Chadema, atapata nafasi nzuri, watanzania wanamhitaji sana.
hata mimi kwa nafasi yangu(mzee mstaafu)nina uwezo wa kusema "ningekuwa rais ningeamuru dowans isilipwe na wahusika wanyongwe"sasa hii inamtofautisha vipi sitta na mvuja jasho wa kawaida?sitta ahame chama au aongoze maandamano ya wanaharakati tumuone yuko serious.
kusema sio ujasiri!achukue hatua.
Kumbe kuna wasomi wanaomshangilia huyu mnafiki?..
Kati huyu na akina Mwakyembe nani zaidi?
Huyu mzee ni mzuri na yaonekana ana uchungu sana na watanzania maskini na raslimali zao,ila sijui kwa nini anashindwa elewa kuwa hapo alipo hata apge kelele vp kamwe watanzania hawatamwelewa.kwani amesimama pachafu halaf anataka aonekane msafi.