Samwel Sitta ampiga bao Lowassa urais 2015


watanzania wengi ni malimbukeni wa siasa wamekabidhi matatizo yao ya kimaisha kwa wanasiasa ili wawaletee maendeleo
 
duh...aise mimi nataka raisi kijana asahivi, nkiskia habar za sita na lowasa moyo unaniuma
 
Ni shujaa kweli sita alitetea katiba mfu ya mafsadi
 
Aah wapi hamna kitu kwa Sitta palee afikirie kula pension karibuni
 

Ivi Mzee Six yupo? Hauwezi mziki wa EDO hata kidogo.......wala huwezi mfananisha hata robo
 

Kapime akili yako
 
urais haumo kwen kwenye utani wa wazaramo na wanyamwezi sita atasubiri cha maana ajiunge kwa EL apate uwaziri wa katiba na sheria
 

Naomba kutofautiana nawe. Navyomtazama Mh Sitta ni opportunist zaidi. Kila analolifany ni kwa sababu maalum yenye maslahi binafsi.

Hata 'mafisadi alivyowashughulikia' ni kwa maslahi mapana yake binafsi.

Je mbona alimsaliti Mpendazoe wakati wa CCJ? Angeonyesha basi msimamo wake na kuondoka na Mpendazoe!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…