Samwel Sitta aanikwa uovu wake

Sitta hata kutembea hawezi anatembea kama kama mbwa nayemymelea mayai ya kuku
 
Sita, Nape, Kilango, Mwakyembe ni wapenda vyeo. Tuwaogope kuliko tunavyoogopa UKIMWI
 

Hivi hadi sasa kuna msafi NDANI ya mafisiCCM?
 

Usituletee gazeti lako la unafiki hapa! Si Sitta wala huyo Lowassa wako unaemsifia! Lowassa ndo hataree! Ukitaka kuelewa angalia mafisadi na wala rushwa walio nyuma ya Mamvi!
 
Ili mradi hujazungumzia alivyoyatupa maoni ya wengi katika Bunge Maalum la Katiba kwa kuipitisha kwa kura za "MARUHANI' nami nakuona nawewe ni mmoja wao tu sema itakuwa umetoswa sehemu.POLE!
 
kuna kitu anataka kusema lakini bado hajakisema hebu mpeni nafasi kidogo muda utimie acheue vizuri. tutajua anataka kutuambia nini.
 
Huyu sitta tulikwisha msahau siku nyingi tangu asaliti katiba mpya . Mwacheni amalizie akapumzike
 
2010 alisaliti chadema yetu hafai hata kidogo,yeye na pinda wafute ndoto zao za asubuhi kuwa rais wa 2015.
 
Wewe ni punguani mambo ya katiba sio ya Jamii?
 
Sitta hana uadilifu angekua nao mke wake asingekamatwa na Takukuru anahonga wapigakura kura simu na pesa ni ushetani wake kujivika umalaika wakati ni jambazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…