Travelogue_tz
JF-Expert Member
- Sep 28, 2010
- 855
- 1,224
Samuel Sitta kupitia Mwananchi amedai kuwa historia yake nzuri ndiyo itakayomfanya aungwe mkono katika harakati zake za kuomba ridhaa ya kuwa Rais wa Tanzania.
Kwanza anadai kuwa atakumbukwa kwa kutimiza ndoto za watanzania ya kuwapatia katiba mpya.
Pili kwa utumishi wake wa muda mrefu Serikalini na tatu ni utendaji wake kama Spika wa Bunge.
Chanzo: Mwananchi leo
Sita kwa kweli ni spika wa kwanza tanzania alie tetea uhuru wa bunge na hakua na upendeleo wowote kufutilia mbali janja ya katiba sitta anafaa kuliko wengine
bora chenge, ruge, muhongo....nk
kuliko 6
Ni kweli historia yake ya kuwatukana viongozi wa dini itambeba kweli. Kama anadhani tumeshasahau matusi aliyoyatoa dhidi ya viongozi wetu wa kiroho AMEPOTOKA.