Samuel Misago(EA Radio/TV) vs B-Dozen(Cloudz FM) nani zaidi?

muuza sura hii avatar yako tu inaonyesha we ni mkufunzu wa mafunzo kwa vitendo kwenye hiyo tasnia ya u Cameroon...mtoto ngozi rangi ya nazi kavu :eyeroll1:

Unamaanisha muuza sura kashalipiwa?
 
o.m.g ckujua kama humu ndan kunamabasha kiasi hiki.na wewe umemtaman muuza sura?he hee..

Mkare sio kiivo bana...nimeipenda terminology "rangi ya nazi kavu"...not the person bana!...mm kisamvu cha kopo sili kabsaaa!
 
sam anaxposure sana.....kama watoto wengi wa eatv yani shule ipo kimtindo tofauti na watoto wa clouds wengi wao wamechukuliwa tu hawana elim ila ni waongeaji wazuri

b12 ni shoga since i hate them shogaz am not his/her fan.

adam yupo juu sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa kuliko huyo dogo mjukuu....mjukuu inabidi apate xperiance zaidi ili amfikie mchomvu.
 
zaidi ni B12 na Baba jonii...weye muuza sura mbona waongea kwa uhakika hivyo wakati tunajua mjini mashoga vidole wako wengi sana
 
muuza sura hii avatar yako tu inaonyesha we ni mkufunzu wa mafunzo kwa vitendo kwenye hiyo tasnia ya u Cameroon...mtoto ngozi rangi ya nazi kavu :eyeroll1:
Hahahahahahaha watu wanamaneno,Mx
 
mwanzisha mada wenzako wameshaanza form five wewe wafanya nini nyumbani au umekuwa mwanafunzi wa kutwa??
 
Sam na huyo Dullah hawaingii hata kidogo kwa yale majembe ya Clouds fm (B 12 na Adam Mchomvu).Kiukweli,Presenters wengi na Redio zao wanaiga kila kitu toka Clouds fm.Hata hiyo Redio yao ya Capital fm ime-copy na ku-paste vipindi toka Clouds fm..
 
Tatizo wapo wengi wanaoiga swaga za B twangala, sio Misago peke yake. Sie tuliopo mikoani tunasikiza redio tofauti tofauti tunawasikia wengi wanavyohangaika kumuiga mchizi, In short Twangala ni NOUMA na ndio maana wanaomuiga ni wengi. Baba Jonii yupo juu vile vile.
 
Twangala ni NOMA, na sio Misago peke yake anayeiga swaga za mchizi huku mikoani tuna redio kibao kila mtangazaji anatamani kuwa twangala, kwa vigezo vyote ulivyotaja twangala yupo mbali ni mbio za KOBE na FARASI
 
Twangala ni zaidi kwa mbali sana, ni wengi wanaoiga swaga za twangala, hata redio za huku mikoani wanapambana kweli kuiga swaga za mchizi, In short Twangala ni NOUMA. unalinganisha mbio za kobe na farasi.
 
sam anaxposure sana.....kama watoto wengi wa eatv yani shule ipo kimtindo tofauti na watoto wa clouds wengi wao wamechukuliwa tu hawana elim ila ni waongeaji wazuri

b12 ni shoga since i hate them shogaz am not his/her fan.

adam yupo juu sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa kuliko huyo dogo mjukuu....mjukuu inabidi apate xperiance zaidi ili amfikie mchomvu.

mmh hilo la ushoga itabid lifanyiwe uchunguz coz lisemwalo lipo
 
Aaa, kumbe mtoto c riziki yule lo!

nimeshaona watu kadhaa kwenye mtandao(fb) wakilizungumzia hilo but nilikuwa napuuzia nikiamin ni mahater,ila sasa kama naanza kuamin kwa mbali hiv coz wamekuwa wengi wanaosema hvo
 
Sam na huyo Dullah hawaingii hata kidogo kwa yale majembe ya Clouds fm (B 12 na Adam Mchomvu).Kiukweli,Presenters wengi na Redio zao wanaiga kila kitu toka Clouds fm.Hata hiyo Redio yao ya Capital fm ime-copy na ku-paste vipindi toka Clouds fm..

halafu bora wangekuwa wanaiga swaga tu,cha ajab hata maneno wanayo2mia cloudz na wao wanayachukua kama yalivyo
 
Back
Top Bottom