Samuel L. Jackson...

Samuel L. Jackson...

Mkongwe wa kuigiza na mzalishaji wa movies, amezaliwa Washigton Dc mwaka 1948. Leo nimeamka nae kumuangalia kwenye movie ya The Hitman, Bodyguard na sasa namalizia The Rule of Engagement.

Unaweza kumuangalia pia kwenye Django na movie zingine nyingi. Hakika huyu jamaa anaweza

Karibuni
tazama muvi ya THE HATEFUL EIGHT..humo jamaa kanifurahsha sana
 
Back
Top Bottom