Philipo D. Ruzige
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 9,428
- 27,138
Aaah mi simo (nilisema wadau mpitie tu mkasome kuhusu cert.)unauwakika kuwa cert haibadili imei?
[emoji23][emoji23]disclaimerCert ndio kubadili imei ila imei nyingi zipo blocked amazon zinapatikana kwenye mitandao free
unapozungumzia certificate in samsung hapo unazungumzia change of imei na serial number na kila certificate inakuwa na unique imei na serial numberHiv karibuni kulikua na wimbi la samsung original kufungiwa na TCRA
Simu nzima inasoma line ila haipandishi mtandao. Au inapandisha mtandao ila haipigi, haipokei wala data hupati.
Ukituma imei TCRA unaambiwa simu yako imefunguwa.
Ukweli: Simu hizo sio fake wala sio kwamba zipo chini ya viwango hata kidogo.
Source ya tatizo: Kwa 100% hizo ni simu refubrished, used. Kwa mfano simu ya wizi, au yoyote isiyo halali inafanyiwa refubrish ikija huku bongo inaonyesha kuwa ni mpya na inauzwa dukan kwa bei mpya na kila kitu unapewa
Tatizo la kutoshika mtandao ni kwamba hizo simu zipo Blacklisted (imei/serial number blacklisted) hivyo dunian kote huwezi kutumia.
Wahuni wa nchi za wenzetu kuna kitu wanafanya (kasome kuhusu samsung certs.) hili kuzi unblok kwenye hicho kifungo
(hii haiusian na kubadili imei)
(sifanyi huduma hii japo naiweza 10000%)
Nakaribisha maswali na maoni
(for education purpose only)
PHillz unlock service
samsung wanachokifanya wanabadilisha tu hyo mashine then hyo inarudishwa inaenda kufanyiwa repairNiliwafata Samsung pale Kkoo wanasema nitoe 130,000 na simu niiache kwa siku 5.
Ebo! Yaani simu ijichange IMEI yenyewe mimi nikatoe hiyo pesa? Kwa kweli nilimtazama yule dada kisha nikaweka simu mfukoni haraka sana kabla hasira hazijanipanda zaidi.
Yule dada wa kihindi? Mi niliambiwa nitoe 190000. NikaondokaNiliwafata Samsung pale Kkoo wanasema nitoe 130,000 na simu niiache kwa siku 5.
Ebo! Yaani simu ijichange IMEI yenyewe mimi nikatoe hiyo pesa? Kwa kweli nilimtazama yule dada kisha nikaweka simu mfukoni haraka sana kabla hasira hazijanipanda zaidi.
Cheupe hivi halafu kafupi kisha chembamba, kama sura ngumu kama ya makonda, si ndo huyo?Yule dada wa kihindi? Mi niliambiwa nitoe 190000. Nikaondoka
Msaada Mkuu.Kazi ndogo sana hiyo
Ndio chenyew hichoCheupe hivi halafu kafupi kisha chembamba, kama sura ngumu kama ya makonda, si ndo huyo?
Msaada Mkuu.
Msaada Mkuu.
Ukitaka kubadilisha imei tumia app imei generet inasoma tena lineNiliwafata Samsung pale Kkoo wanasema nitoe 130,000 na simu niiache kwa siku 5.
Ebo! Yaani simu ijichange IMEI yenyewe mimi nikatoe hiyo pesa? Kwa kweli nilimtazama yule dada kisha nikaweka simu mfukoni haraka sana kabla hasira hazijanipanda zaidi.
Ni ya Android ama pc?Ukitaka kubadilisha imei tumia app imei generet inasoma tena line