Ukitaka ufurahie Samsung usinunue iliyo chini ya angalau laki 5, Km uchumi wako ni wa kawaida km mimi pambana upate angalau zenye bei ya kati. Mfano mimi nlinunua A50 kwaka 2019 hadi leo iko fresh sana na sioni tatizo, iko updated android 11 km simu ya mwaka huu tu.