Samsung wajifunze kwa Apple

Sasa ulishawai kuona mtu anauza samsung af akasema Finger print [emoji808]
 
Kama ndo ivo ulishawai kuona wapi mtu anauza Samsung au brand nyingine tofauti na apple af akasema Finger print [emoji808]???? Huo ndo ubovu wenyewe tunao sema. Kwann mtu akireplace kioo ife Touch ID
 
Sidhani kama kuna ukweli wowote kama ukiizoea iPhone huwezi hamamia android nani anaependa kununua miziki
 
Kulipuka kwa note 7 inaweza kutokea kwa manufacturer yeyote, pili heart rate sensor kwako inaweza ikawa haina faida lakini kumbuka kuna watu wenye matatizo ya moyo kwao inafaida sana na mtu anaweza akanunua simu kwasababu ya hicho kitu tu.
shida siyo simu kuwa na heart rate sensor.... shida ni hiyo sensor kutokuwa accurate kabisaaaa
 
s8 nazo zinachora mstari wa pink.... au hujui kama ni simu ya mwaka jana???.... au mwaka jana bado ni zamani?
 
Sasa kwanini ife wakati wa replacement,na wakati ni swala la kawaida matengenezo??
inaonekana ww hujawahi peleka simu kwa fundi halafu huyo fundi akaiharibu... you are talking like unawaamini sana mafundi wa kibongo wakati wengi wao ni wanazingua hatari
 
inaonekana ww hujawahi peleka simu kwa fundi halafu huyo fundi akaiharibu... you are talking like unawaamini sana mafundi wa kibongo wakati wengi wao ni wanazingua hatari

Kwanini wasiharibu hata speaker ila homebutton!!!??
 
Kwanini wasiharibu hata speaker ila homebutton!!!??
Ushaambiwa kwamba home button ipo integrated kwenye motherboard...

hivi umeshawahi hata kufungua simu yoyote kwanza maana nisije nikawa napoteza tu muda wangu bure....
 
Iphone 6s & 6s plus bending test hatari sana unasemaje kuhusu hili
 
Ushaambiwa kwamba home button ipo integrated kwenye motherboard...

hivi umeshawahi hata kufungua simu yoyote kwanza maana nisije nikawa napoteza tu muda wangu bure....

Umeanza kupanick nini sasa!!!kifupi unachart na fundi simu.

Haya una swali lingine???,kifupi hujui hata nini unaandika.
 
Umeanza kupanick nini sasa!!!kifupi unachart na fundi simu.

Haya una swali lingine???,kifupi hujui hata nini unaandika.
Kama ww ndio fundi simu basi naomba niishie hapahapa.... ndio maana siwezi peleka simu yangu kwa takataka kama nyie....
 
Ushaambiwa kwamba home button ipo integrated kwenye motherboard...

hivi umeshawahi hata kufungua simu yoyote kwanza maana nisije nikawa napoteza tu muda wangu bure....

Ukiona fundi kafungua Iphone 6,6plus au 7 kwa ajili ya kubadili kioo, alafu badae Fingerprint haifanyi kazi. Hapo fundi anakuwa alikosea kwenye kuhamisha ila button ya fingerprint.
Kuna hitaji umakini kiasi kwenye kila kazi unayofanya hasa kwenye kubadili kioo.

Hakikisha unapo maliza kufungua kioo una test speaker na fingerprint kama viko sawa huo ndio ufundi.
 
Kila simu ina udhaifu wake na ubora wake hakuna simu ipo perfect kabisa kushinda nyingine. Ndio mana matumizi na mapenzi ya utumiaji simu yamegawanyika. Kuna baadhi ya nchi unakuta hakuna watu wanaopenda samsung. Wao ni iphone na kuna sehemu unakuta wenyewe ni samsung lakini iphone hawana time.
 
Halafu kitu kingine watu wanasahau kwamba cases za iphone kubadili vioo ni nyingi huenda kuliko hata simu ya aina nyingine yoyote... na hilo ni kwa sababu uwepo wa iphone zenye icloud nyingi mtaani na hivo watu kuziuza kama spear... kwa hiyo mtu simu yake ikicrack kdg tu anaingia mtaani.... na hapa ndo fingerprints nyingi zinazingua....
 
shida siyo simu kuwa na heart rate sensor.... shida ni hiyo sensor kutokuwa accurate kabisaaaa

Haipo accurate wakati ina accuracy ya 95% to 99%. Lakini hazitumiki kama diagnosis tool ni kwa ajili ya matumizi binafsi.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…