TheCrazy Mchokozi
Senior Member
- Apr 7, 2017
- 181
- 252
- Thread starter
-
- #41
Nashukuru mkuuuSasa uliwezaje kusema a3,j5 na note 3 na kuendelea zinazid other android phones ilihali hizo other Android huzifaham? Hilo ndio kosa lako...
Kaangalie lg g4
Lg g5
Lg v10
Lg v20
Lg g6
Kaangalie one plus 2
One plus 3
One plus 3T
Pia angalia vizur google pixels XL
Kuna huawei nexus 6p
Htc m10
Anza kuzipitia hizo chache ndio utajua kuna simu kari zaid ya hizo ulizotaja wewe..
All in all Samsung anafanya vizur na hii ni kutokana ana watu pia wanao mpa challenge..kuwepo kwa simu kari kwa manufacturer wengine ndio nayeye anatoa simu kari...kikubwa hapa ni kutaka kukujulisha kwamba zipo simu nzuri nyingi tu kuliko ulivyodhani wewe.
mkuu nimegundua kuwa humu ndani kuna wengi ambao wameanza kutumia hizi smart hapa karibuni ndio maana wanasifia samsung wakihisi ndio simu pekeeUnavyosema other Android unaongelea simu gani?
Pia umesema kuanzia j5,A3,na note 3 hakuna simu ya kufananisha nazo real?
Kwanza mind yourself j seriz na A seriz ni mid range phones tu.
Nafikir unahitaji kuangalia vizuri other manufacturers wanafany kazi gani..Kuna LG ,Sony ,Htc na bado kuna kazi za kina one plus,google pixel ,wakina xiaomi,na wengine wengi tu...kinachokufunga ni hiyo sentence kwamba kuanzia "A3 ,j5 ,na note 3 hakuna simu ya kufananisha nazo"
watanzania walio wengi wanaijua samsung pekee ndio maana wengi wanatumia samsung clone na sio originalSimu ulizotaja umewahi kutumia sinshangi ukisema hivyo....kachungulie Soxy XZ au ZA au Z5 AU LG V10 na kuna simu ya kimarekan itakuja ina Ram GB12 CAMERA MP60 NA secondary ni 20MP nimeshangaa unaulizwa ubora wa simu unaonesha emoji kwanza samsung anawatengenezea battery kafoji cheti..!
Mkuu hii simu yangu hii inatumia version gani ya mediatek?[emoji116]Simu za TECNO za android zinaonekana mbaya kwa sababu ya mediatek versions wanazotumia, mediatek versions nzuri ni helio P10, helio P15, helio P20, helio P25, helio X20, helio X23, helio X25, helio X27 na helio X30. Simu ikiwa na mediatek tofauti na hizo hapo juu, hiyo simu itakuwa mbaya, ikiwa na mediatek za hapo juu, hiyo simu ni nzuri sana. Mpaka sasa simu nzuri za TECNO ni mbili tu, Phantom 6 na Phantom 6 Plus, ni nzuri kwa sababu zina mediatek za helio X10 na helio X20 respectively.
Ukitaka simu nzuri ya bei rahisi ya mediatek, hakikisha ina mediatek ya helio P10 au helio P15 au helio P20 au helio P25 au helio X10 au helio X20 au helio X23 au helio X25 au helio X27 au helio X30. Tofauti na hapo hilo simu litakuwa baya tu.
Hio ndio shida...ila taratibu tu wataelewa mkuumkuu nimegundua kuwa humu ndani kuna wengi ambao wameanza kutumia hizi smart hapa karibuni ndio maana wanasifia samsung wakihisi ndio simu pekee
hivi kwenye hizi android kuna wenye simu za ukweli kama sony,htc na lg naona wengi wanafuata jina la samsung bila kujua na ubora wa simu nyingine
Experia XZKwani Latest ya sony phone ni gani....sio Z5
Helio X10Mkuu hii simu yangu hii inatumia version gani ya mediatek?[emoji116]
Ni sawa ukisema hivyo, ila tecno usiiweke hapo, wewe compare samsung vs iPhonemtapiga kelele sana ila Iphone ni kitu ingine mazee" hayo ma samsung sijui ma tecno mtasubili sana kwa ios
Umeangalia wapi/sehemu gani kwenye hiyo screenshoot?Helio X10
Bora urudi ulikotoka maana hizo zina watu wakeNatumia iphone 5s lakin sijaipenda nataka ni upgrade nichukue samsung s6 au s7