Ukiongelea graphics unaongelea GPUGraphics za simu Kwanza
Ram...
Internal Storage
Processor
Camera Siangaliii
Compare samsung s7 edge na song z5...Ukiongelea graphics unaongelea GPU
Gpu ya Z5 ni adreno 430
Gpu ya a5 ni adreno 405
Huoni hata graphics a5 imesha pitwa?
Na hapa siongelei sony tu naongelea hadi manufacturers wengine...kuna G4 ,g5,kuna v10 kuna v20 kuna g6 inamaana hizi zote zimepitwa na a5? Au huzifaham simu
Phantom 6 na 6plus ziko vizur kwel...compared to other tecno phoneSimu za TECNO za android zinaonekana mbaya kwa sababu ya mediatek versions wanazotumia, mediatek versions nzuri ni helio P10, helio P15, helio P20, helio P25, helio X20, helio X23, helio X25, helio X27 na helio X30. Simu ikiwa na mediatek tofauti na hizo hapo juu, hiyo simu itakuwa mbaya, ikiwa na mediatek za hapo juu, hiyo simu ni nzuri sana. Mpaka sasa simu nzuri za TECNO ni mbili tu, Phantom 6 na Phantom 6 Plus, ni nzuri kwa sababu zina mediatek za helio X10 na helio X20 respectively.
Ukitaka simu nzuri ya bei rahisi ya mediatek, hakikisha ina mediatek ya helio P10 au helio P15 au helio P20 au helio P25 au helio X10 au helio X20 au helio X23 au helio X25 au helio X27 au helio X30. Tofauti na hapo hilo simu litakuwa baya tu.
Hazipo level moja s7 ni ya 2016 na z5 ya 2015 ..Compare samsung s7 edge na song z5...
Izo ndo ziko level moja
Latest phone ya sony ni ganiHazipo level moja s7 ni ya 2016 na z5 ya 2015 ..
Samsung usiifananishe na Tecno, Samsung ni world wide inauzwa dunia nzima, Tecno ni Africa tuu... Samsung level zake ifananishe na iPhone, Google Pixel au LGNafkiri tecno phantom 6 plus ipo juu!! Tokea nianze kuitumia kila kitu raha raha tu!! Samsung amekuwa nyuma sana kw sasa
Nimetumia Sony Xperia.... Ni Bei Ghali Lakin Hakuna Kitu
Mkuu Nenda Angalia A5 Ya Samsung Fananisha Na Android Zote Umetumia...Rudi Unipe Jibu
Labda Tunatofautia lakin Graphics Za Samsung Sahivi Zipo Level Moja Na Apple
Kumbe hata simu huziifaham? Kaangalie v20 ya lgLatest phone ya sony ni gani
Umewaambia ukweli mkuu,hakika wewe ni mpenzi wa mungu!Umasikini tu unawasumbua ila simu ni iPhone tu.
Najua toleo za Samsung...am big fanKumbe hata simu huziifaham? Kaangalie v20 ya lg
Kabisaa...Samsung ni balaaaSamsung usiifananishe na Tecno, Samsung ni world wide inauzwa dunia nzima, Tecno ni Africa tuu... Samsung level zake ifananishe na iPhone, Google Pixel au LG
Tecno kwa samsung iko mbal sana
Hiyo phantom 6 imeachwa mbali sana hata na Samsung S6 kwakila kitu na ndio maana S6 bei mbaya .. na bado kuna mzigo wa samsung S8 umekuja kufunga kazi na bei yake imechangamka sana sio ya kitoto
Sijatumia LG kusema kweliNilitumia LG G2 mpaka sasa sijaona simu bora kama ile,kuanzia battery,performance yake. Kwa upande wa android LG wako vizuri zaidi ya Samsung
Sijatumia LG kusema kweli
Ila sijui mkuu kama umeshajaribu latest samsung phones uka compare na LG
Sasa uliwezaje kusema a3,j5 na note 3 na kuendelea zinazid other android phones ilihali hizo other Android huzifaham? Hilo ndio kosa lako...Najua toleo za Samsung...am big fan
So Sijakuwa nikifuatilia Sony,Htc, etc
Samsung na iphone tu...
Wacha niziangalie
Nilisema zamani kwa wale waliokuwa wakisifia Tecno, huwezi kujua ubaya waTecno hadi utakapo icha na kuanza kutumia aina nyengine ya simu.Hapo ndio utagundua ulikuwa unateseka.Nilikuwa Mpenzi Wa Tecno Sana Kuanzia 2015 Wakati Walianza Kubadilika
Nilianza Kutumia Alcatel One Touch 360
Nikauza Nikanunua Tecno M3 Ambayo Nilikaa Nayo Sana Adi Nikanunua Boom J8
Tecno Wamekuwa Wakibadilika Sana...But Ivi Sasa Naona Wakibadilisha Camera Tu Na Capacity
Samsung Kusema kweli ni zaidi ya other androids phone
Nazungumzia in terms of graphics na uwezo wa simu zenyewe
Mfano samsung note 3, A3 na J5 Kwenda Juu...Huwezi Fananisha Izi Simu na Other Android
Personally Naona Samsung Wameanza Kuipiku iPhone Sanaa
They Are Ever Changing
Regards