TheCrazy Mchokozi
Senior Member
- Apr 7, 2017
- 181
- 252
Kweli nimeiona iyo phantom 6 kwa mtu sijaitumia kwa kweliNafkiri tecno phantom 6 plus ipo juu!! Tokea nianze kuitumia kila kitu raha raha tu!! Samsung amekuwa nyuma sana kw sasa
Umewahi kutumia Samsung au unasema tu? Hivi hizo Tecno huwa mnafurahia nini?Nafkiri tecno phantom 6 plus ipo juu!! Tokea nianze kuitumia kila kitu raha raha tu!! Samsung amekuwa nyuma sana kw sasa
Unavyosema other Android unaongelea simu gani?Nilikuwa Mpenzi Wa Tecno Sana Kuanzia 2015 Wakati Walianza Kubadilika
Nilianza Kutumia Alcatel One Touch 360
Nikauza Nikanunua Tecno M3 Ambayo Nilikaa Nayo Sana Adi Nikanunua Boom J8
Tecno Wamekuwa Wakibadilika Sana...But Ivi Sasa Naona Wakibadilisha Camera Tu Na Capacity
Samsung Kusema kweli ni zaidi ya other androids phone
Nazungumzia in terms of graphics na uwezo wa simu zenyewe
Mfano samsung note 3, A3 na J5 Kwenda Juu...Huwezi Fananisha Izi Simu na Other Android
Personally Naona Samsung Wameanza Kuipiku iPhone Sanaa
They Are Ever Changing
Regards
Nimetumia Sony Xperia.... Ni Bei Ghali Lakin Hakuna KituUnavyosema other Android unaongelea simu gani?
Pia umesema kuanzia j5,A3,na note 3 hakuna simu ya kufananisha nazo real?
Kwanza mind yourself j seriz na A seriz ni mid range phones tu.
Nafikir unahitaji kuangalia vizuri other manufacturers wanafany kazi gani..Kuna LG ,Sony ,Htc na bado kuna kazi za kina one plus,google pixel ,wakina xiaomi,na wengine wengi tu...kinachokufunga ni hiyo sentence kwamba kuanzia "A3 ,j5 ,na note 3 hakuna simu ya kufananisha nazo"
Angalia Emoji Keyboard samsung note 3Unavyosema other Android unaongelea simu gani?
Pia umesema kuanzia j5,A3,na note 3 hakuna simu ya kufananisha nazo real?
Kwanza mind yourself j seriz na A seriz ni mid range phones tu.
Nafikir unahitaji kuangalia vizuri other manufacturers wanafany kazi gani..Kuna LG ,Sony ,Htc na bado kuna kazi za kina one plus,google pixel ,wakina xiaomi,na wengine wengi tu...kinachokufunga ni hiyo sentence kwamba kuanzia "A3 ,j5 ,na note 3 hakuna simu ya kufananisha nazo"
Ni kweli mkuu ni umasikini tu,kwangu hakuna simu zaidi ya iPhone asee.Umasikini tu unawasumbua ila simu ni iPhone tu.
Nifananishe flagship na midrange phones? Umetumia sony gani? A5 simu moja ndogo tu...nimesha kwambia ni midrange ..kwaiyo utafananisha z3,z5 na a5?Nimetumia Sony Xperia.... Ni Bei Ghali Lakin Hakuna Kitu
Mkuu Nenda Angalia A5 Ya Samsung Fananisha Na Android Zote Umetumia...Rudi Unipe Jibu
Labda Tunatofautia lakin Graphics Za Samsung Sahivi Zipo Level Moja Na Apple
Kwani wewe kwenye simu unaangalia kitu gani haswaAngalia Emoji Keyboard samsung note 3
Piga emoji keyboard ya android nyingine
Zikifanana Niache kutumia simu
Nifananishe flagship na midrange phones? Umetumia sony gani? A5 simu moja ndogo tu...nimesha kwambia ni midrange ..kwaiyo utafananisha z3,z5 na a5?
Graphics za simu KwanzaKwani wewe kwenye simu unaangalia kitu gani haswa
Iphone ni simu nzuri sana....Umasikini tu unawasumbua ila simu ni iPhone tu.