ndumbo jr
Member
- Jul 4, 2017
- 74
- 31
- Thread starter
- #21
Inahitajika antenna gani ili kupata channelsni dvb-t, utapata izi fta za terrestrial free
hua zinakuja na indoor antenna zake, monopole antenna
Tv yangu ina iyo huduma lakini napata shida na DsTV akat hata local channels haina. So inahitaji vifaa gani na vitaghalimu sh. Ngap?hua zinakuja na indoor antenna zake, monopole antenna
ila unaweza unga na zile dipole kama za star times, mchawi bnc connector