WIMICKY JF-Expert Member Joined Jun 9, 2011 Posts 1,439 Reaction score 1,575 Jun 1, 2014 #1 Habari wakuu/ msaada kwa anae fahamu upatikanaji wa firmware za simu za kichina hususani hii samsung trend tg-s7568i​
Habari wakuu/ msaada kwa anae fahamu upatikanaji wa firmware za simu za kichina hususani hii samsung trend tg-s7568i​
mgeni3 JF-Expert Member Joined Jun 4, 2010 Posts 228 Reaction score 63 Jun 1, 2014 #2 teh teh teh teh.....ingia kwenye forums za kichina afu utafute kaka!!
WIMICKY JF-Expert Member Joined Jun 9, 2011 Posts 1,439 Reaction score 1,575 Jun 1, 2014 Thread starter #3 mgeni3 said: teh teh teh teh.....ingia kwenye forums za kichina afu utafute kaka!! Click to expand... daaa nimejaribu kaka toka juzi naingia lakini sasa inanichukuwa muda mrefu kufanya kazi ya kutafuta tafsiri kuliko kitu ninacho kitafuta
mgeni3 said: teh teh teh teh.....ingia kwenye forums za kichina afu utafute kaka!! Click to expand... daaa nimejaribu kaka toka juzi naingia lakini sasa inanichukuwa muda mrefu kufanya kazi ya kutafuta tafsiri kuliko kitu ninacho kitafuta