Samsung smart tv

Scofied

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2012
Posts
2,456
Reaction score
1,694
wakuu heshima kwenu
nina tv yangu used aina tajwa hapo juu nchi 50 nilinunua zanznibar...sasa imeanzaa tatizo la kujizima yenyewe..nikiwasha inakaa kama dakika kumi hivi inazima na nikiwasha tena inawaka then inazima...haikuwa na tatizo hilo kabla.
ushauri wenu inaweza kuwa na shida gani kabla ya kuipeleka kwa mafundii..Asanteni
 
sinahama.navitu.used unaweza.kufa.masikini.kwa.kuwachangia.pesa
 
Angalia timer isijekuwa umeset ijizime baada ya dakika 10 bila kujua
 
pia unaweza kujaribu kuireset, ungeandika model ya hio tv mengine yangeendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…