Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,742
- 25,678
YouTube IPO opera mini pia ipomkuu sijawahi tumia hio tizen ya tv, sina uhakika, unaweza download chochote? kuna player ya muziki humo ndani?
mkuu unajua kwa wenzetu huko nje unapokuwa na tv kama hizo utahitaji router ya wifi, hii inakusaidia ku move vitu baina ya kifaa kimoja na chengine, unaweza tumia laptop kuplay muziki wa kwenye simu, tv ikaplay video ya laptop etc, ilimradi zote ziwe network moja, kwa kazi kama hio plex ingefanya.
Kama haujainunua ni bora utafute TV ya kawaida ambayo sio Smart kwa bei nafuu af uchukue na android TV box ndio uta furahia kutumia vitu vingi.Habari zenu wataalamu akina CHIEF MKWAWA
Nilikuwa naomba marlekezo kuhusu hii TV ya Samsung smart TV je naweza kudownload nyimbo
Sent using Jamii Forums mobile app
ukidownload na opera mini inakuwaje?YouTube IPO opera mini pia ipo
Vipi mpira unaangalia live auNinayo ila kwa kutumia programs za yutube na nyinginezo once ukiwa na internet conection unaweza angalia chichote kilichoko mtandaoni ila kudownload na kuserve pembeni hapana.
Unaangalia tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
imekataa kujidownloadUkiwa na mobdro unaangalia mpira live kbs