Sawa lakini unaijua thamn y hii cm kaka izi cm kioo chake kinauzwa kikiwa complete kioo display na touch vinauzwa kwa pamoja na ndo maana ya iyo bei afu uyo aliyekwambia yeye kaweka ela yake ya udalali mkuu iko chini ya hapo

Mkuu mm nmefanya biashara ya kuuza sim kipindi fulani Any way ntupie whatsap nme ku inbox,vp Haina michubuko kwa nyuma .....kesho ntaulizia spare Nairobi pia hyo