Samsung s6 edge+ inauzwa

Niko dar bei ni 250k
 
Pia mazungumzo yapo
 
Sawa mkuu picha inawekwa lakin 100k umesha sana kaka utanipa 200k na ntakupm ntakapoweka picha maana apa niko job so nkirud geto naweka picha na nakupm mkuu
 



Simu yenyewe ndo hii apa ilianguka ikapasuka kioo chote
 
Unataka bei gani hii sim

Ova
Mkuu nipe 250k afu wewe unanunua kioo kwa 300k jumla mpaka unatumia cm yako itakuwa ni 550k kiwepes unatumia ni cm kali sana kiongozi kali mno asee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ